Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aongea na Wahariri wa Vyombo vya Habari - Sept 9, 2020, ataenda Mahakamani kwenye kesi zake Kampeni zikiisha

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aongea na Wahariri wa Vyombo vya Habari - Sept 9, 2020, ataenda Mahakamani kwenye kesi zake Kampeni zikiisha

Shida ya Lissu hasemi yeye kama yeye atafanya mambo gani makubwa, tushajua magu hafai. Sasa yeye aache kila siku kumzungumzia magu badala yake aseme yeye kama yeye atafanya yapi
Huwezi kuelewa wewe una kichwa cha panzi! Yaani mpaka leo tunasikia atafanya nini kwa watumishi? Atafanya nini kwa wakulima? Atafanya nini kuhusu afya? Atafanya nini kuhusu wamachinga? N.k jinga kabisa wewe!
 
Uko sahihi sasa akichaguliwa uwa amiri jeshi? Atakuwa amiri jeshi gani mkuu ambaye hata kukimbia hawezi? Mguu haukunjuki?
Acha kashfa na ubaguzi ndugu hujafa hujaumbika na pia hutaishi milele, wewe mwenzetu labda una uhakika wa kuwa mzima maisha yako yote
 
Lisu ni kasuku sana. Anazungumza bila kushirikisha ubongo....

Atueleze uzuri wa mifumo ya uganda na Kenya kwanza.

Anavibeza vyombo vya ulinzi na usalama na watumishi ilihali anasaka madaraka.

Huyu ni wa kuogopwa kuliko Bokassa
Ila mungu wa chato siku zote anatema point?
 
Debe tupu!
Sema watanzania utawafanyia nini?
Nunua basi hata kiradio kidogo uwe unasikiliza habari maana kila leo yanaandikwa mbona au ndo vocha hadi ukope hadi unaitwa denis sababu ya madeni ya mtandao
 
Mbona hajajibu swali la pili, kwanini picha za nyomi la mikutano ya Lowasa 2015 linafanyiwa mazingaombwe hadi kujikuta watu walewale wanaoonekana kwenye picha na mazingira yale yale yanayoonekana kwenye picha yanaonekana tena kwenye mikutano yake?
Kwani yeye ndo anaposti hizo picha waulizeni hao walopost
 
Acha ujinga, kwa hiyo anayotaka kutuambia atafanya nini yameisha? Kwani akisema kila siku atatufanyia nini shida iko wapi?
Huyu anaanza kupotea, arudishwe kwa nguvu kwenye mstari
ndo maana nikakuambia hapo awali huna ubongo umejaza samadi kichwani
 
Lisu kuna Uzi kichwani hauko sawa Ana mental dissorder anasahau Haraka Mno
Mfano Zanzibar CHADEMA ilimteua mgombea uraisi Zanzibar kupitia vikao Halali kabisa vya chadema Zanzibar na kamati kuu na mkutano mkuu taifa wa Chadema yeye kafika kule Zanzibar akaanza kumnadi mgombea wa ACT wazalendo Maalim Seif kuwa ndie achaguliwe!!! Badala ya kumnadi wa kwake!! ALIYEPITISHWA N.A. CHADEMA
Ulikuwepo kwenye vikao vyao vya siri? Labda walijadili kumpisha maalim seif acha ukuda mkuu
 
Shida ya Lissu hasemi yeye kama yeye atafanya mambo gani makubwa, tushajua magu hafai. Sasa yeye aache kila siku kumzungumzia magu badala yake aseme yeye kama yeye atafanya yapi
Asema hujaona?
 
Hakuna jipya Lissu hana pesa ya kampain analialia tu
Shida sio pesa za kampeni wa Tz tunataka nafuu ya maisha irejee,
Pesa ktk mzunguko
Ajira
Hali nzuri ya Biashara irudie
Bima ya Afya kwa kila mtu
Elimi bora
Thamani ya mazao ya kilimo na hali bora ya maisha kwa mkulima
Mazingira mazuri ya watumishi wa umma
 
Huyu mwamba kumbukeni ni mwanasheria na mwanasiasa so hakuna hoja atashindwa kuitetea iwe ya kweli au uwongo
 
Maneno ya Lisu ni magumu na mazito mno kuyasikiliza!!Yanatia uchungu sana!!!!NAWAAHIDI MIMI NA FAMILIA YANGU NITAMPIGIA KURA!!!LAKINI BARABARANI SITOINGIA !!KAZI KWAKE KULINDA ASIIBIWE!!!!NAWASHAURI ASHIRIKIANE NA DIASPORA WAUNDE JESHI LA MSITUNI ILI WAJE NA OPERATION "OKOA DEMOKRASIA YETU" WAPAMBANE ILI WATANGAZWE WASHINDI!!!!!
OF COURSE HAKUNA MJINGA ANAYEKOSA MJINGA MWENZAKE.
 
Back
Top Bottom