Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aongea na Wahariri wa Vyombo vya Habari - Sept 9, 2020, ataenda Mahakamani kwenye kesi zake Kampeni zikiisha

Kwani yeye ndo anaposti hizo picha waulizeni hao walopost
Kuna cabinet ipo kwa ajili ya kazi hiyo, na kuna nyingine ambazo mgombea anabariki ziende hewani na nyingine anazipiga pin zisiruke hewani
 
ikiwezekana hiyo kituo kiwekwe nchi jirani
 
Better late than never , kama na wewe unakiri hadharani kwamba Magufuli hafai basi kampeni zetu zimefanikiwa sana ! ondoa shaka kuhusu atakachofanya Lissu , huyu ataondoa utumwa na utekaji , ataleta uhuru kamili na kuhakikisha haki kwa kila mtu
na bima ya afya isiyowezekana!!!!!!????
 
Ulikuwepo kwenye vikao vyao vya siri? Labda walijadili kumpisha maalim seif acha ukuda mkuu
Kwa hiyo hawatangazi maamuzi kwa wanachama wajue hicho chama cha Chadema ni cha viongozi au wanachama?
 
Shida ya Lissu hasemi yeye kama yeye atafanya mambo gani makubwa, tushajua magu hafai. Sasa yeye aache kila siku kumzungumzia magu badala yake aseme yeye kama yeye atafanya yapi

Kwahiyo umeshindwa kusoma hata hii para"> Magufuli ameharibu urafiki wetu na nchi nyingine, na sisi ndio tutarudisha uhusiano mzuri na kimataifa. Miaka mitano ya Magufuli nani anayemiliki migodi ya madini? Ni haohao mabeberu!
Acheni ushabiki wa kipumbavu kwa miambili miambili mnazopewa NZI wa kijani nyie? Watoto wetu wanamaliza vyuo wanakosa ajira kwasababu ya uharibifu wa urafiki wa nchi za nje. Wakat Wa Kikwete urafiki na nchi za nje ulkuwa mzuri uliskia kelele za watu kutoajiriwa? Huo urafiki ndio unaosaidia kuleta mashirika(agencies) mbalimbali hapa nchini na vijana wanapata ajira.
Sijui kwanini corona inawaacha mijitu mijinga kama nyie!!
 
Hayo ndio yanafanya tumshagae Lissu maana akianza kulalamika utafikiri yeye ndio wa kwanza na wa mwisho kuwa mlemavu,hajui kuwa kuna watu wanapitia mateso zaidi yake ila yeye anataka kutumia ulemavu wake kupata kura.
 
Shida ya Lissu hasemi yeye kama yeye atafanya mambo gani makubwa, tushajua magu hafai. Sasa yeye aache kila siku kumzungumzia magu badala yake aseme yeye kama yeye atafanya yapi
Umesoma post yote? Siamini kama umeisoma yote. Ungeisoma yote usingeandika hii post yako kwasababu amesema atafanya nini. Pili, hatuna waandishi wanaouliza maswali ya msingi ya kumchokonoa mzungumzaji aeleze hata yale ambayo hakuzungumzia kwenye mazungumzo yake. Hilo suala la kutumika na mabeberu mbona linaulizwa kila anapoongea na vyombo vya habari, linayo mantiki kurudiwa kila wakati? Unamuuliza mgombea urais kwanini anachangisha hela? Kwanini waandishi wasiulize maswali ya kufikirisha. Kwanini wasiulize maswali ya kisera yenye kuonyesha ni kwa jinsi gani atatatua changamoto za maisha ya watu na kujenga uchumi imara?

Matokeo yake watu wanauliza maswali ya kijinga jinga ya kejeli na mipasho ambayo hayana tija kwa anayeuliza swali au taifa kwa ujumla.
 
Mbona analalamika tu.
Chama kilipata ruzuku halafu unasema Hakuna pesa unataka kuchangiwa.
 
Aliyewafukuza TBC ndiye yuleyule analilia TBC warudi? Kweli vituko havina jina
Wewe ni kamongo kweli kweli, siyo utani. Rudi matopeni maana hata huelewi ni kitu gani kinaendelea nchini. Ccm inastawi kwa kuwa na watu wa aina. Na inawekeza sana ili muwe wengi ili iendelee kustawi.
 
Ni kweli kabisa ndio maana Anti , atapata kura za kutosha kutoka znz kwa kuelezea vizuri kiini cha Muungano, ambao wa Tz wengine tulikuwa hatuujui, hata Raisi wa Sasa hajui.
 
Wewe ungemnyamazia muuaji wako? Msijifanye kuwa nyie siyo binadamu. Anayevunja haki zetu lazima asemwe. Udikteta na kunyamazishana fanyieneni huko Chama Cha Majambazi. Wapi duniani ulikwishaona kampeni zinafanywa bila kumsema mtu aliyeko madarakani? Marekani wana uchaguzi mwezi Novemba. Umesikia Biden (Democratic) akifanya kampeni bila ya kumtaja Trump (Republican)? Acheni ujinga wa kulazimisha mambo yasiyowezekana. Kweli haujasikia Lissu akitoa sera? Kama haumtaki, mpigie kura dikteta wako.
Lissu hawezi kuchambua au kueleza mambo pasina kulaumu au kumshambulia mtu,hivyo ndivyo alivyo na uzuri au ubaya kuna watu wanapenda hiyo hali ya kusikia malalamiko muda wote kuliko kusikia ni nini kifanyike.
 
Shida ya Lissu hasemi yeye kama yeye atafanya mambo gani makubwa, tushajua magu hafai. Sasa yeye aache kila siku kumzungumzia magu badala yake aseme yeye kama yeye atafanya yapi
Kuirudisha Tanzania katika hadhi yake sio jambo dogo. Eti yeye kama yeye!! Hakuna sera za TL ila kuna sera za CDM na ilani ya uchaguzi ya CDM. Hivi kubadilisha mfumo wa utawala, kuendeleza katiba mpya ya Walioba pale ilipoishia? Bima ya afya kwa kila mtanzania sio jambo kubwa! Kila sitaka kuwa na dhamana sio jambo kubwa?
Ulielewa kauli ya Warioba aliposema tujiandae kufuata sheria TL akishinda uchaguzi!!
 
Shida ya Lissu hasemi yeye kama yeye atafanya mambo gani makubwa, tushajua magu hafai. Sasa yeye aache kila siku kumzungumzia magu badala yake aseme yeye kama yeye atafanya yapi

Mfumo wetu wa kisiasa hauhitaji wew eukafanya, na hatutokuuliza wewe hujafanya, ila unapaswa kufanya yaliyomo kwneye Ilani na usipo yafanya t6utakuuliza.
ndio maan leo magufuli anambiwa na ACT kuw akafanya onlyn 30% ya kwenye ilani.

Na ILANI ndio mkataba wetu sisi na yeye na chama chake hakuna mkataba mwingine.
 
Pesa ya kampeni imekata halafu mahudhurio ya mtwara na Zanzibar na Dar yamemkatisha tamaa sana

Na alichoona ya Mwanza ya Magufuli kajiona hamna kitu
Kirumba 2/3 watoto under age..kadanganye vipofu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…