Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe jipya kwako ni lipi? Punguza shobo za kujifanya mswahili ilihali umetoka porini ulikokuwa unalala chumba kimoja na ndama! Halafu, badilisha hiyo avatar kwani unamharibia mamvi mwenye jina lake!Hana jipya. Mguu haukunji so what?
Naunga mkono hoja 👋 👏Maneno ya Lisu ni magumu na mazito mno kuyasikiliza!!Yanatia uchungu sana!!!!NAWAAHIDI MIMI NA FAMILIA YANGU NITAMPIGIA KURA!!!LAKINI BARABARANI SITOINGIA !!KAZI KWAKE KULINDA ASIIBIWE!!!!NAWASHAURI ASHIRIKIANE NA DIASPORA WAUNDE JESHI LA MSITUNI ILI WAJE NA OPERATION "OKOA DEMOKRASIA YETU" WAPAMBANE ILI WATANGAZWE WASHINDI!!!!!
Wewe na huyo Magu mnajipya gani zaidi ya kuchota hela za watanzania bila ruhusa ya bungeHana jipya. Mguu haukunji so what?
Waliolia Ni TBC wewe kuwa na akiliAliyewafukuza TBC ndiye yuleyule analilia TBC warudi? Kweli vituko havina jina
Unamsaidiaje? Au nawe umekuja kubweka na kulilia humu ili usaidiwe?Hakuna jipya Lissu hana pesa ya kampain analialia tu
Sasa ulitaka achote kama Ccm inavyochota kwa wananchiHakuna jipya Lissu hana pesa ya kampain analialia tu
Alishayasema na CCM wakacopy baadhi na kuyahodhi japo hayapo kwenye ilani yao!Shida ya Lissu hasemi yeye kama yeye atafanya mambo gani makubwa, tushajua magu hafai. Sasa yeye aache kila siku kumzungumzia magu badala yake aseme yeye kama yeye atafanya yapi
Kama hujasikia sera za Chadema mpaka leo basi wewe unamtindio wa akili,sababu mpaka mgombea wako anajichanganya kujibu,kuambiwa tutaongeza mishahara kwa wafanyakazi mara kajitafunatafuna mara tuliongeza kupitia kodi mara na sisi tutaongezaWalizoea siasa za personal attacks enzi za Kikwete sasa watanzania wamekomaa politically wanataka sera sio umbeya wa kuongelea mtu...
Magu hafai kwa kufanya nchi kama nyumba yake,anatisha watu,anaminya uhuru na haki za watu hafai hata kwa ukatibu kataMagu hafai kwa lipo?. Yeye anafaa kwa lipi?. Kazi kulalama tu, huyu jamaa hafai kuwa Rais.
Jidanganye na pia wadanganye wapuuzi wenzakoPesa ya kampeni imekata halafu mahudhurio ya mtwara na Zanzibar na Dar yamemkatisha tamaa sana
Na alichoona ya Mwanza ya Magufuli kajiona hamna kitu
Basi kama sio kiziwi akili zako mgando,Ningekuwa kiziwi nisingekuwa namsikia muda wote akiutumia kulalamika na kushambulia watu.
Kumbe wewe juha,hivi kama ingekuwa Kuna fursa sawa nani angelalamika,vyombo vya habari vina lalamika,tume sio huru,polisi ndio ccm namba mbiliLisu tatizo alidanganywa na social media kudhani Magufuli hakubaliki. Sasa ameingia kwa field anaanza kulia lia, aendelee asiwandae kwanini aanze kuwandaa kisakolojia kushindwa yani siku 15 za kampeni?
Aliyewafukuza TBC ndiye yuleyule analilia TBC warudi? Kweli vituko havina jina
Hana jipya. Mguu haukunji so what?
I'm sorry Mr Zero if you are offended.I got you.Mkuu, kanisome tena. Mimi na CCM au mimi na Yohana wapi na wapi ...... You misssed something somewhere!!
Dah....mkuu hujaelewa wapi? Mbona kasema wazi kabisa....atarudisha mahusiano na mabeberu ambayo Magufuli kayaharibu....na kuhakikisha kila mtanzania anajua kuongea kiingereza [emoji2960]Shida ya Lissu hasemi yeye kama yeye atafanya mambo gani makubwa, tushajua magu hafai. Sasa yeye aache kila siku kumzungumzia magu badala yake aseme yeye kama yeye atafanya yapi
yote tumuonee hurumaHana jipya. Mguu haukunji so what?
Matunda ya Miaka 43 ya Utawala wa CCM Maradhi, Ujinga na Umaskini wa kutupwa. Walau wakati wa TANU hawajamaa walikuwa wanakondeana... tangu CCM ifanye Azimio la Zanzibar 1992, kasi ya unono na ukibonge inaongezea maradufu!Lisu anagombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania au Urais wa Tanganyika??
Maana yeye sio muumini wa Muungano.
Vijana wa Bashiru.Moja ya tatizo ya awamu hii ni kuwa na matetez yasiyo na akili kama hili limama maana linaandika pumba