Tundu Lissu apata mapokezi ya Kifalme Kijijini kwao Singida

Mwaka 2015 tuliona picha za kila aina zikiwemo za mifereji, mito, ziwa na Bahari yeye mafuriko lakini zote hazikufua dafu kwa CCM. Tujiandae kisaikolijia.
Ndio maana Lissu alisema yeye hatamuachia Mungu..umeelewa maana yake TAGA(singular)
 
Nakubaliana na wewe Tindo kweli Lowassa aliikuta nyomi CDM,nadhani hata 2010 wakati wa Slaa ilikuwepo.
 
Dalili za mvua ni mawingu, hakika huyu lissu ndiye yule tuliyekuwa tunamsubiri
 
Mwaka 2015 tuliona picha za kila aina zikiwemo za mifereji, mito, ziwa na Bahari yeye mafuriko lakini zote hazikufua dafu kwa CCM. Tujiandae kisaikolijia.
Wacha kuwa na mifano ya Bulicheka na Kibanga ampiga mkoloni, hayo mambo yameshapitwa na wakati.
Siku hizi jana ni ndogo kuliko leo
 
Cyprian Musiba na le mutuz wanatembea na sumu ya kumwekea Tundu lisu kwa mnaokaa huko Dsm mkiwaona wazomeeni kwa nguvu waache ushetani wao
Hao kwa sasa ni maadui nambari moja wa watanzania
 
Wacha taarabu jukwaani wacha wanaume waongee
 
Wabaya wake "walie tu". Tuwaombee ila hawasameki.
 
Mwaka 2015 tuliona picha za kila aina zikiwemo za mifereji, mito, ziwa na Bahari yeye mafuriko lakini zote hazikufua dafu kwa CCM. Tujiandae kisaikolijia.
Mkuu kumbuka lkn ccm ya wakati ule siyo sawa na ya sasa. Wakati ule ccm ilikuwa ya ukweli na uwazi. Sasa hivi ccm ni ya hofu na vitisho. Hivi sasa ccm imejaa wanafiki na ndiyo watakaoiangusha ccm kwani hata wao wamechoshwa na vitendo ovu ndani ya chama chao.

Haijawahi tokea tangu tuanze mfumo wa vyama vingi mtu mmoja eti ndiye anaefanya shughuli za siasa kwa miaka mitano. Tena ni Kiongozi mkuu wa nchi. Siasa zenyewe ni za chuki na ubaguzi wa waz kabisa dhidi ya wasiokubaliana na tabia zake.

Nchi ina Katiba na Sheria lkn inaongozwa kwa mawazo ya mtu mmoja ole wako upingane nayo ndani na nje ya ccm utakutana na wale jamaa wasiojulikana.
Sasa ndiyo kipindi cha kuhakikisha uovu huu unatoweshwa.

Watz siyo wajinga wana akili macho na masikio tusubiri muda ufike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…