Tundu Lissu apuuza wito wa DCI Kingai, asema hatoenda ofisini kwake

Alisema duniani kote Polisi akikupa wito lazima Barua ya Wito itaje kosa na madhumuni ya wito.

Kwamba kwenye Wito ule haujataja kitu chochote.
 
Labda kingai atakuwa amemfahamu lissu baada ya kurudi nchini.
Kimsingi Kingai na Lissu wanajua tangu kitambo Kingai akiwa RPC wa kinondoni.
Lissu aliwahi kusema kila alipokamatwa enzi za JPm alikuwa anakamatwa na Kingai na kupelekwa kwa Kamanda Murilo
Usishangae Kingai ndio kamtonya jamaa auchune
 
AMINA.
 
Ilikuwa Apigwe pingu pale JNIA akapata taarifa na kudmba huruma aende mwenyewe sasa kama hajaenda asimlaumu Kingai

cc: Kindiki
Ile tume ya haki jinai imesema nini!!??
Mtuhumiwa anaandikiwa barua ya kujukishwa kosa lake na kuitwa afike kituo fulani.
Sasa apigwe pingu kwani yeye ni hatarishi!!??
 
Tundu Lissu ana uzalendo gani? Si anapinga Uuzwaji wa Bandari, anapinga wamasai kuhamishwa Loliondo, anapinga miradi ya EPZA na Wageni wengine, huyo unamuita vipi mzalendo?

WAZALENDO wapo CCM kwenye kuhamasisha kuza kwa DP WORLD na miradi mingine.
 
Tundu Lissu ana uzalendo gani? Si anapinga Uuzwaji wa Bandari, anapinga wamasai kuhamishwa Loliondo, anapinga miradi ya EPZA na Wageni wengine, huyo unamuita vipi mzalendo?

WAZALENDO wapo CCM kwenye kuhamasisha kuza kwa DP WORLD na miradi mingine.
Ni kweli wazalendo ni wale waliosaini mikataba ya Rushwa ya madini, gesi, ardhi na sasa bandari hadi Prof Muruma anapata machungu kwa ajili ya nchi😅
 
Ukiitwa isivyo halali unaenda tu? Kwa Nini waitaji wasimwite mtu kama sheria inavyosema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…