Karungikana
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 913
- 844
Tatizo lako nini?Amesema "ana nia" yakugombea Urais kupitia Chadema 2025, akiwa na maana endapo kama atapitishwa na vikao vya chama chake.
Hiyo ni tofauti na kusema atagombea Urais kupitia Chadema, hata kama bado vikao vya chama chake kumpitisha mgombea havijakaa.
Inaonyesha CCM wanakuwa na kiherehere kingi wakisubiri mtafaruku utokee CHADEMAMakamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu amesema hana Mpango wa kugombea Uenyekiti wa Chadema
Lisu amesema yeye na Mbowe hawana tofauti zozote ni Waandishi wa Habari wazushi tu ndio wanavumisha Uwongo huu
Baadae Mlale Unono 😀😀
Sa100 na huyo mwingine uliyemtaja wote ni CCM so mpaka hapo shida iko palepale. Tunahitaji mabadiliko ya hiyari au ya "lazima"Alikwisha toa maono yake kuhusu Katiba Mpya. All in all Samia apewe mauwa yake kwa kuongoza nchi vizuri kwa kuitumia Katiba hii ambayo Magufuli aliisigina.
Na uchawa juu!Awamu hii tutakinukisha hamtaamini
You can go to hell!Namtaja JPM halafu wewe ndiyo unapata tumbo la kuhara? Who are you to the late dictator?
Kwani Mkoa wa Njombe uko Ubelgiji? Maana mimi ni mzaliwa wa Lugarawa wilaya ya LudewaWewe una uraia wa ubelgiji , watoto wako raia wa Marekani alafu unakuja kugombea urais Tanzania?
Alafu eti watanzania wakuchague? Watanzania siyo wajinga
Huenda risasi za Mbowe ziliacha uchizi kichwani mwake.
Wewe ndo chizi!Wewe una uraia wa ubelgiji , watoto wako raia wa Marekani alafu unakuja kugombea urais Tanzania?
Alafu eti watanzania wakuchague? Watanzania siyo wajinga
Huenda risasi za Mbowe ziliacha uchizi kichwani mwake.
And I will meet Magufuli in hell and punish himYou can go to hell!
Tundu Lisu ni mpinzani wa kipekee Kabisa hapa DunianiInaonyesha CCM wanakuwa na kiherehere kingi wakisubiri mtafaruku utokee CHADEMA
Wanayo hofu kubwa sana juu ya Tundu Lissu.
Hiyo pekee ni ajenda tosha ya kumshtaki huyo 'Chura Kiziwi' kwa wananchi waone hadaa zilizo wazi toka kwake.. Siku zote utawala wake umekuwa ni kupindisha pindisha tu mambo; hakuna analofanya likiwa kwenye taratibu za kueleweka!..Mama Abduli alizuia Katiba Mpya ili upinzani wasusie, apite bila kupingwa.
Linalo nishangaza na wewe na kunichanganya juu yako; mara moja moja hujitokeza na kuonyesha dalili za msimamo.Tundu Lisu ni mpinzani wa kipekee Kabisa hapa Duniani
Hanaga Undumilakuwili
Tangu lini hawa jamaa wakawa na demokrasia wao Huyo ndio mgombea wao WA milele kama ilivyokua kwa Mwenyekiti wao WA milele.CHADEMA hakuna demokrasia kabisa. Huyo Lissu ana uhakika gani chama chake kitampitisha? Au yeye ndo katiba ya chama
Hivi afya ya Lissu na ya mshika hatamu ipi dhaifu? Au neno afya kwako lina maana tofauti?Hamna kitu hapo, apambanie afya yake kwanza, ila angalau amekulamo, kaenda kuzitunza ubeleji
Mbowe ana nguvu sana nchi hii, kumbe alimpiga risasi Lissu na akawazuia poliis kufanya uchunguzi!?Wewe una uraia wa ubelgiji , watoto wako raia wa Marekani alafu unakuja kugombea urais Tanzania?
Alafu eti watanzania wakuchague?
Huenda risasi za Mbowe ziliacha uchizi kichwani mwake.
Uchaguzi ujao chama chetu pendwa cha kijani kitachapisha form ngapi vile za Urais ili kudhihirisha namna demokrasia ilivyoshamiri ndani ya chama?Tangu lini hawa jamaa wakawa na demokrasia wao Huyo ndio mgombea wao WA milele kama ilivyokua kwa Mwenyekiti wao WA milele.