Pre GE2025 Tundu Lissu arejea nchini, asema atagombea urais 2025 kuitikia wito wa Watanzania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kama Lissu atagombea basi kura yangu anayo, kama hatogombea sitapiga kura.

Kama Lisu hatagombea kiti cha Urais, hakika uchaguzi wote hautakuwa na maana ya msingi.

Tunahitaji mtu mkweli, jasiri, aliyenyoka kwa kauli na matendo, mwenye uelewa mpana kwa masuala ya kisheria ili kuikomboa Tanganyika iliyo kwenye hatari kubwa.
 
Wewe una uraia wa ubelgiji , watoto wako raia wa Marekani alafu unakuja kugombea urais Tanzania?

Alafu eti watanzania wakuchague?

Huenda risasi za Mbowe ziliacha uchizi kichwani mwake.
 
Huyo aliyepo anakubali mawazo ya wenzake? Vipi kuhusu katiba mpya?
Alikwisha toa maono yake kuhusu Katiba Mpya. All in all Samia apewe mauwa yake kwa kuongoza nchi vizuri kwa kuitumia Katiba hii ambayo Magufuli aliisigina.
 
Wewe una uraia wa ubelgiji , watoto wako raia wa Marekani alafu unakuja kugombea urais Tanzania?

Alafu eti watanzania wakuchague? Watanzania siyo wajinga

Huenda risasi za Mbowe ziliacha uchizi kichwani mwake.
 
Alikwisha toa maono yake kuhusu Katiba Mpya. All in all Samia apewe mauwa yake kwa kuongoza nchi vizuri kwa kuitumia Katiba hii ambayo Magufuli aliisigina.

Wewe una uraia wa ubelgiji , watoto wako raia wa Marekani alafu unakuja kugombea urais Tanzania?

Alafu eti watanzania wakuchague? Watanzania siyo wajinga

Huenda risasi za Mbowe ziliacha uchizi kichwani mwake.
 
..Magufuli anapendwa sana nchi hii.

..kama Lissu anafanana na Magufuli, basi wafuasi wote wa Magufuli wampigie kura Lissu.
Labda wewe, lakini nchi hii haina nafasi tena ya kuleta kichaa mwingine kama Magufuli kwenye uongozi wa Taifa letu.

Mungu katusadia kumtoa yule naamini alikusidia kuikoa nchi yetu isiharibike na kuwa kama Somalia
 
Back
Top Bottom