Tundu Lissu arejea Nchini asema ripoti ya CAG ufisadi ni uleule, mambo ni yaleyale

Tuache nongo jamaa kipindi anakitendea haki sn na siyo uongo
Pengine mzuri ila aliteleza kwenye hii interview moja kwa sababu fulani fulani? Mimi sijui hata jina lake pia sijawahi kufuatilia vipindi vyake ila hii ninayozungumzia haikuni-convince.
 
W
 
No siwezi kumuuliza swali hilo kwasababu sio swali. Kuna type ya maswali very specific to Lissu, nikifanikiwa kupata appointment nitaileta humu JF.
P

..Lissu amefanya mahojiano na watu wengi sana.

..amewahi kuhojiwa na watu wanaomuunga mkono, na wasiomuunga mkono.

..nimewahi kumsikiliza Lissu akihojiwa na vijana wa Ccm ambao kwa ujumla walikuwa wakimuuliza maswali ya kumkejeli na kumcheka.

..Lissu anatakiwa ahojiwe mambo ya kisomi kuhusu future ya Tanzania na sio kuhusu mambo yetu ya kila siku ambayo tayari tuna majibu na misimamo yetu kwa mfano kupigwa risasi, ripoti ya cag, kuachiwa Ole Sabaya, etc

..Kuna Watanzania wachache sana wenye uelewa wa historia, katiba, sheria, na harakati za kutafuta haki, kama Tundu Lissu. Ukimhoji Lissu kuhusu masuala hayo unaweza kupata mambo mapya yenye msaada kwa watakaokufuatilia.
 
It's true, mimi nita reserves 60 min airtime kwa TL, huyu ni mdogo wangu kiumri na Iliboru nikiwa Form 5 Lissu yuko form 2!, hivyo mahojiano yatakuwa mazuri ya kumsaidia Lissu, kuisaidia Chadema na kulisaidia taifa!.
P
 
Nikimhoji Lissu, no stone will be left unterned!
P

Pascal, kati ya watu wanaokupinga sana mimi ni mmoja wapo, I know you personal na wewe ni mtu wangu wa larobu, ngona nikueleze:

1. You are very super bright.
2. Una uelewa mkubwa sana.
3. Una uthubutu sana sana sana.

Wewe ni mtu ambaye unaweza sana sana kuwa msaada kwa hili Taifa na kwa maana hiyo ungeendelea sana....

Shida yako:

Maslahi na kupenda vyeo kunakuongoza, na hiyo hekima, akili na sifa zako haziwasaidii wa Tanzania....

Ukishikilia msimamo, utapoteza yote kwa mda, ila utapata maradufu na maisha yeye maana....
 
It's true, mimi nita reserves 60 min airtime kwa TL, huyu ni mdogo wangu kiumri na Iliboru nikiwa Form 5 Lissu yuko form 2!, hivyo mahojiano yatakuwa mazuri ya kumsaidia Lissu, kuisaidia Chadema na kulisaidia taifa!.
P

..usiingize masuala ya Chadema au siasa za vyama.

..utafaidika zaidi ukiwa na majadiliano au mahojiano ya KISOMI kuhusu Katiba, Sheria, Siasa,na Historia, kwa ujumla wake.

..Dont ask him about Samia vs Magufuli, cag report, Sabaya, ndege za atcl, etc mijadala midogo-midogo ya kila siku.
 
Kati ya interviews za hovyo nchini za muda wootee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…