Program Manager
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 2,763
- 3,955
Nadhani Lissu atatakiwa kwenda mahakamani kuweka pingamizi la NEC
Kuna channel yoyote inaonesha laivu??
Elewa vizuri Katibu mkuu wa chama ndio mdhamini mkuu wa mgombea,Tume haiwezi kumtafuta mgombea yupo wapi ndio wampelekee malalamiko,Ingekuwa Mgombea hana chama na mdhamini hiyo hoja yako ingekuwa ina mashiko,Lissu anajulikana ni Mgombea wa uRais kwa kupitia chama Fulani na njia ya kumfikia ni kupeleka kwa katibu mkuu wa chama ambaye ni mdhamini wa mgombea na inajulikana ofisi ya katibu ipo wapi,Kanuni na sheria za uchaguzi zinaitaka tume kumpelekea mgimbea malalamiko wala si kupitia Chama.
Walipokua wananyimwa form wagombea wa ubunge na udiwani wa Chadema hata Chama kilipoingilia Wakurugenzi hawakuwasikiliza ilibidi Wagombea wenyewe ndiyo wajipiganie.
Kuna sheria inayo sapoti unacho kiandika au ni maoni tu unatoa?Mkuu, hivi unajua kuwa Chama ndicho kikubwa kuliko huyo mgombea,na Chama ndio kilichobeba dhamana yake?
Sasa huoni kwamba, Chama kuandikiwa juu ya kulalamikiwa Kwa mgombea ndio sahihi mkuu!!
Hata wewe?Tupo tunasubiri kumsikia rais mtarajiwa...
Anapambana na aliyeshika mpini. Busara ilikuwa ni chama chake kitoe tamko siyo yeye binafsi.
Huo ni utashi wako, kinachoongelewa hapa ni kanuni na sheria. Kama kanuni na sheria vina shida basi walipaswa wabadili hizo kwanza na si kuzikiuka wakati zipo hai and functional.Elewa vizuri Katibu mkuu wa chama ndio mdhamini mkuu wa mgombea,Tume haiwezi kumtafuta mgombea yupo wapi ndio wampelekee malalamiko,Ingekuwa Mgombea hana chama na mdhamini hiyo hoja yako ingekuwa ina mashiko,Lissu anajulikana ni Mgombea wa uRais kwa kupitia chama Fulani na njia ya kumfikia ni kupeleka kwa katibu mkuu wa chama ambaye ni mdhamini wa mgombea na inajulikana ofisi ya katibu ipo wapi,
Consequence zakuendelea kufanya kampeni zinaweza ku justify hatua ingine kubwa zaidi na ya kuumiza.Naamini NEC wakimkata kuendelea na uchaguzi hakuna kitakachotokea (kama ilivyotokea kwa JECHA).Atumie busara na ajenge hoja!!
Mbn nyinyi mnataka kuduguliwa watu hawasemiKibaya zaidi Polepole ndo aliharibu anatoa matamko yanafatwa hivyohivyo bila kupindisha Sasa hapo unategemea nini Kama siyo kukosa hekima.
Huyo amesoma akaelimikaNani yuko nyuma ya lissu mbona anajiamini Sana
Mtakua mumemaliza tatizo madikteta?? Mshaua wa ngapi na mapambano yanaendeleaMpeni kichwa ili aliwe kichwa mazima
Si kwa Tume hii ya Mahela.Suluhu ipatikane kwa maslahi mapana ya nchi yetu
Kinukisheni sasaNguvu ya umma iko standby
Na ili wewe mbuz jike usisikieAlafu anaandika kwa kingereza ili beberu wake asikie