Uchaguzi 2020 Tundu Lissu asema ataendelea na Kampeni. Adai Sheria ya Maadili imevunjwa kumsimamisha Kampeni

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu asema ataendelea na Kampeni. Adai Sheria ya Maadili imevunjwa kumsimamisha Kampeni

Lissu Lissu Lissu Lissu Lissu Lissu Lissu Lissu Magu Magu Lissu Lissu Lissu Lissu Lissu Lissu Lissu Lissu Lissu Magu Lissu Lissu Lissu Lissu Imeharibika Lissu Lissu Magu Lissu Lissu Lissu Lissu Lissu Magu Lissu Lissu Lissu Lissu Lissu Lissu Lissu Lissu Magu Magu Lissu Lissu Lissu Lissu Imeharibika Lissu Magu Lissu Lissu Imeharibika
 
Hapo ndio anaingia kwenye kumi na nane,akiendelea na kampeni wanamtoa kabisa, jeuri haina faida yeyote tena unae mfanyia jeuri ndio ana ubavu zaidi yako. Hivi jina likikatwa kwenye list ya wagombea atafanya nini?
 
Kanuni na sheria za uchaguzi zinaitaka tume kumpelekea mgimbea malalamiko wala si kupitia Chama.
Walipokua wananyimwa form wagombea wa ubunge na udiwani wa Chadema hata Chama kilipoingilia Wakurugenzi hawakuwasikiliza ilibidi Wagombea wenyewe ndiyo wajipiganie.
Elewa vizuri Katibu mkuu wa chama ndio mdhamini mkuu wa mgombea,Tume haiwezi kumtafuta mgombea yupo wapi ndio wampelekee malalamiko,Ingekuwa Mgombea hana chama na mdhamini hiyo hoja yako ingekuwa ina mashiko,Lissu anajulikana ni Mgombea wa uRais kwa kupitia chama Fulani na njia ya kumfikia ni kupeleka kwa katibu mkuu wa chama ambaye ni mdhamini wa mgombea na inajulikana ofisi ya katibu ipo wapi,
 
Huo ni utashi wako, kinachoongelewa hapa ni kanuni na sheria. Kama kanuni na sheria vina shida basi walipaswa wabadili hizo kwanza na si kuzikiuka wakati zipo hai and functional.
 
Hakuna kitu kama hicho
Consequence zakuendelea kufanya kampeni zinaweza ku justify hatua ingine kubwa zaidi na ya kuumiza.Naamini NEC wakimkata kuendelea na uchaguzi hakuna kitakachotokea (kama ilivyotokea kwa JECHA).Atumie busara na ajenge hoja!!
 
Kibaya zaidi Polepole ndo aliharibu anatoa matamko yanafatwa hivyohivyo bila kupindisha Sasa hapo unategemea nini Kama siyo kukosa hekima.
Mbn nyinyi mnataka kuduguliwa watu hawasemi
 
Back
Top Bottom