Uchaguzi 2020 Tundu Lissu asema ataendelea na Kampeni. Adai Sheria ya Maadili imevunjwa kumsimamisha Kampeni

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu asema ataendelea na Kampeni. Adai Sheria ya Maadili imevunjwa kumsimamisha Kampeni

Lissu anaogopwa sana mpaka na yule malaika wa chato anayetoa roho za wapinzani
 
Lissu anafuata na kuzingatia sheria zilizotungwa na serikali wakati serikali inatumia mabavu ya polisi. Serikali inashindwa kuheshimu sheria zake yenyewe na Lissu anazifuatilia sheria na kuzitekeleza.
 
Haya siyo maneno yangu, ni maneno ya Tundu Lissu
View attachment 1588241
Labda aendelee na kampeni nyumbani sio kwa ardhi ya Tanzania yeye anataka kutuvurugia amani Yetu kwa kuwa ana option ya kukimbilia ubelgiji Sasa ajaribu kwenda kinyume na hiyo hukumu tuone hao wanaompa jeuri Kama wataingia hapa nchini kwetu kumsaidia. Yeye si mwanasheria aende akapambane na wenzie kwenye ulingo wa kisheria Kama angekua mstaarabu afuate utaratibu wa kutatua issue yake kwa amani otherwise sheria itambana kwa sababu alisain
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Mwaka huu lazima watu Fulani wakonde kwa mawazo.

Kuna watu bado wanakosa majibu na kujilaumu sana kichwani kwao " Kwa mini walifanya makosa Mara ya kwanza kumpitisha Lissu kugombea ??"
 
Lissu mtoto sana kwenye siasa
Umesikika
20201002_140017.jpg
 
Lisu anajitoa ufahamu tu
Tume imepeleka balua ofisini kwenu, Mnyika kapokea, kawajibu kwamba hiyo haiwahusu, wampe mgombea mwenyewe!
Kama vile wewe ni mgombea binafsi siyo wa chadema!
Juzi umesikika ikiwa Tarime kwamba huendi kwa kuwa hukapewa balua!
Sasa je
Huna mawasiliana na chama chako?

Ikiwa hili ,wenzio wanajua lile!
Ikifanya ukaidi utaumia
Polisi watakufungua hivyo vyuma ulivyofunga mwilini kwako
Una mawazo ya kizamani sana. U communist umepitwa na wakati . Mambo ya kumwabudu mtu au chama tawala hakuna
 
Kwanza huyo Jaji ana Kadi ya Chama gani.?

Ukishajua hivyo basi hata kama ana jua sheria hawezi kwenda kinyume na maagizo ya Mwenyekiti wenu wa CCM.
 
Maendeleo yana vyama bana, @JPM
Mimi siyo mwanasheria lakini naamini Tume ya uchaguzi inayoongozwa na Jaji mbobezi haiwezi kutoa maamuzi kwa kukurupuka.

Ndio najiuliza huyu Tundu Lisu " anadhani" anazijua sheria kuliko Jaji mstaafu Kaijage?

Maendeleo hayana vyama!
 
Mimi siyo mwanasheria lakini naamini Tume ya uchaguzi inayoongozwa na Jaji mbobezi haiwezi kutoa maamuzi kwa kukurupuka.

Ndio najiuliza huyu Tundu Lisu " anadhani" anazijua sheria kuliko Jaji mstaafu Kaijage?

Maendeleo hayana vyama!
Kaijage ni njaa ndiyo inamsukuma
 
Back
Top Bottom