Uchaguzi 2020 Tundu Lissu asema ataendelea na Kampeni. Adai Sheria ya Maadili imevunjwa kumsimamisha Kampeni

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu asema ataendelea na Kampeni. Adai Sheria ya Maadili imevunjwa kumsimamisha Kampeni

Umemaliza
Majaji wengi tu Tanzania ni wabobevu sana na wanaijua sheria pengine kuliko hata Tundu Lissu, tatizo kubwa ni kutumwa bwanamkubwa na kulinda kitumbua chao.
Kuna wakati unauju ukweli inakubidi hakuna namna tu huna budi kumridhisha bosi.
 
Nyie ndio wale wa 'refa kamuu ,unampinga refa' ..bila kujua huyo refa anaweza kupindisha sheria kutotokana na influence mbalimbali kama mapenzi,fedha ,kiburi na hujuma zingine .Ijapokuwa sheria zote za mpira wa miguu anazijua..so nadhani umepata kitu hapa ukioanisha na situation iliyopo!
 
Mimi siyo mwanasheria lakini naamini Tume ya uchaguzi inayoongozwa na Jaji mbobezi haiwezi kutoa maamuzi kwa kukurupuka.

Ndio najiuliza huyu Tundu Lisu " anadhani" anazijua sheria kuliko Jaji mstaafu Kaijage?

Maendeleo hayana vyama!
Very stupid qn!!!
 
Majaji wengi tu Tanzania ni wabobevu sana na wanaijua sheria pengine kuliko hata Tundu Lissu, tatizo kubwa ni kutumwa bwanamkubwa na kulinda kitumbua chao.
Kuna wakati unauju ukweli inakubidi hakuna namna tu huna budi kumridhisha bosi.
Kama ndivyo bado hawawezi kuitwa wabobevu. Mtu gani amebobea hawezi kutumia ubobevu wake wa kuongoza maisha yake hadi atumike na washenzi ndio mkono uende kinywani??

Je wale tulioishia form four failure si ndio tutasuguliwa ili tuishi?
 
Kama anazijua sheria za uchaguzi Nchini basi Kaijage asingekaa kimya pale kisukuma kilipotumika kwenye kampeni. Asingekaa kimya pale ambapo ahadi na pesa zilitolewa kipindi cha kampeni na pia asingekaa kimya pale majaliwa alipojihusisha na kampeni za Urais.

1601657766169.png

Mimi siyo mwanasheria lakini naamini Tume ya uchaguzi inayoongozwa na Jaji mbobezi haiwezi kutoa maamuzi kwa kukurupuka.

Ndio najiuliza huyu Tundu Lisu " anadhani" anazijua sheria kuliko Jaji mstaafu Kaijage?

Maendeleo hayana vyama!
 
SSA Lissu mbona anakuwa mzembe.akapeleke malalamiko NEC kuhusu JPM na majaliwa kuvunja hizo kanuni. Kama aliyofanya kwenye pingamizi .
Napenda afanye hivyo jumatatu. Asilalamike anakoswa Sifa ya kuwa rais saasa
Soma vizuri maelezo yake walipeleka lkn hawajawahi hata kusema wapokea malalamiko
 
Ndiyo!
Tundu Lissu anazijua sheria kuliko Kaijage kwa sababu Lissu ni wakili na Kaijage ni hakimu. Kwa nature ya kazi zao wakili ni mtu anayechambua na kutafsiri sheria na mazingira ya kutumika, wakati hakimu analinganisha hoja na kupima uzito wake kisheria katika mazingira husika.
Perfect explanation. Hapa nimeelewa.
 
Tundu Lissu, akikaza kufuata sheria watalegeza misimamo, maana inaonesha kabisa wazi kwamba, hawafuati sheria hata kidogo, na hii siyo makusudi, ni kwa sababu hata wakizisoma hawaelewi, maana waliwekwa tu ili mradi waje kutekeleza matakwa ya wateuzi ila taaluma haipandi!!
 
Lissu ni Akili kubwa jamani.......hata historia inashuhudia...hivi ILBORU sekondari wanaendaga vilaza kama kina sisi!?
 
Back
Top Bottom