Hammaz
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 6,607
- 14,076
Maneno ya khanga peleka kwa wanawake wenzako.Mkiambiwa muandamane mnajifungia bafuni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maneno ya khanga peleka kwa wanawake wenzako.Mkiambiwa muandamane mnajifungia bafuni
Anamkubali sana TL sema vile viwanjavyake kule morogoro havitakuwa salama akihamaNi imani yangu mpaka October 20 mwaka huu, johnthebaptist utakuwa mfuasi kindakindaki wa Mh Lisu na utamuunga mkono kwa nguvu katika kuiendea Tanzania ya haki
Majaji wengi tu Tanzania ni wabobevu sana na wanaijua sheria pengine kuliko hata Tundu Lissu, tatizo kubwa ni kutumwa bwanamkubwa na kulinda kitumbua chao.
Kuna wakati unauju ukweli inakubidi hakuna namna tu huna budi kumridhisha bosi.
Hawa wazee huwa hawajipangi kwenye maisha ndio maana huishia kutumika tu.Kaijage ni njaa ndiyo inamsukuma
Umejibu vizuri sana mkuu!Jaji Kaijage anajua sheria vile vile ila anapelekeshwa na chama tawala anashindwa kufuata sheria kulinda ajira yake, ni punda afe ili mzigo wa tajiri ufike
Very stupid qn!!!Mimi siyo mwanasheria lakini naamini Tume ya uchaguzi inayoongozwa na Jaji mbobezi haiwezi kutoa maamuzi kwa kukurupuka.
Ndio najiuliza huyu Tundu Lisu " anadhani" anazijua sheria kuliko Jaji mstaafu Kaijage?
Maendeleo hayana vyama!
Kama ndivyo bado hawawezi kuitwa wabobevu. Mtu gani amebobea hawezi kutumia ubobevu wake wa kuongoza maisha yake hadi atumike na washenzi ndio mkono uende kinywani??Majaji wengi tu Tanzania ni wabobevu sana na wanaijua sheria pengine kuliko hata Tundu Lissu, tatizo kubwa ni kutumwa bwanamkubwa na kulinda kitumbua chao.
Kuna wakati unauju ukweli inakubidi hakuna namna tu huna budi kumridhisha bosi.
Mimi siyo mwanasheria lakini naamini Tume ya uchaguzi inayoongozwa na Jaji mbobezi haiwezi kutoa maamuzi kwa kukurupuka.
Ndio najiuliza huyu Tundu Lisu " anadhani" anazijua sheria kuliko Jaji mstaafu Kaijage?
Maendeleo hayana vyama!
JitokezeNi vitendo dhidi ya maneno. Wajaribu!
Ni kweli Tume imekurupuka na inaonesha ina uwezo mdogo sana.Very stupid qn!!!
Soma vizuri maelezo yake walipeleka lkn hawajawahi hata kusema wapokea malalamikoSSA Lissu mbona anakuwa mzembe.akapeleke malalamiko NEC kuhusu JPM na majaliwa kuvunja hizo kanuni. Kama aliyofanya kwenye pingamizi .
Napenda afanye hivyo jumatatu. Asilalamike anakoswa Sifa ya kuwa rais saasa
We mgomvi hatari!😁😁😁😁Leta link tupate nondo za kuwabonda watu huku vijiweni
Perfect explanation. Hapa nimeelewa.Ndiyo!
Tundu Lissu anazijua sheria kuliko Kaijage kwa sababu Lissu ni wakili na Kaijage ni hakimu. Kwa nature ya kazi zao wakili ni mtu anayechambua na kutafsiri sheria na mazingira ya kutumika, wakati hakimu analinganisha hoja na kupima uzito wake kisheria katika mazingira husika.
2015 alikamatwa pale Osterbay akaanza kulia kama mtoto mdogo.
asante kwa namba nitakuchekLissu ni debe tupu
NdioMimi siyo mwanasheria lakini naamini Tume ya uchaguzi inayoongozwa na Jaji mbobezi haiwezi kutoa maamuzi kwa kukurupuka.
Ndio najiuliza huyu Tundu Lisu " anadhani" anazijua sheria kuliko Jaji mstaafu Kaijage?
Maendeleo hayana vyama!