Uchaguzi 2020 Tundu Lissu asema ataendelea na Kampeni. Adai Sheria ya Maadili imevunjwa kumsimamisha Kampeni

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu asema ataendelea na Kampeni. Adai Sheria ya Maadili imevunjwa kumsimamisha Kampeni

Hapo ndio anaingia kwenye kumi na nane,akiendelea na kampeni wanamtoa kabisa, jeuri haina faida yeyote tena unae mfanyia jeuri ndio ana ubavu zaidi yako. Hivi jina likikatwa kwenye list ya wagombea atafanya nini?
Msiichezee amani ya nchi hii!Tunakumbusha hilo!
 
Mbona mfano wako ni nje ya mstari Mraaa Au ndo vile tena
Ni ndani ya mstari ndugu. Angalia, huiamini tume ila unatarajia kutangaza mshindi! How? La pili, unaidharau na kuikashfu tume kuwa haifai, wakati huo huo umeikubali iwe mwamuzi wa mtanange.
 
Watumishi wote na familia zao kura kwa lissu

Mungu kumbuka chozi langu dhidi ya mja wako Lissu nililotoa wakati ameumizwa.Endelea kumlinda,kumbariki Na kumpa nguvu.

Amen
 
Anapambana na aliyeshika mpini. Busara ilikuwa ni chama chake kitoe tamko siyo yeye binafsi.
Mahakama ni mhimili huru.. Alieshika mpini kwani hapelekwi mahakamani.. Magu nae ni mgombea kama wenzake
 
Anachokitafuta na Amsterdam wake wanakaribia kukipata. Niliwahi kusema Lissu ana akili nyingi sana za darasani Ila Elimu ya Dunia ni ZERO. No wonder anatembea kwa kuchechemea kwa kutofunzwa na ***** na kufunzwa na ulimwengu. Sasa acha ulimwengu uendelee kumfundisha zaidi.
Wewe jinga nenda kafunzwe na mumeo,yani mumpige risasi halafu leo hii mnalalamika huku kua ni mbaya kwenu,punguani wahed
 
Tofauti na kifo kabla ya 28 Oct kura yangu ni Lissu
 
Necccm wanahangaika bure ushindi wa Lissu uko palepale hata wafanyaje , muda ni mwalimu mzuri sana wa kutoa majibu .
 
Anachokitafuta na Amsterdam wake wanakaribia kukipata. Niliwahi kusema Lissu ana akili nyingi sana za darasani Ila Elimu ya Dunia ni ZERO. No wonder anatembea kwa kuchechemea kwa kutofunzwa na ***** na kufunzwa na ulimwengu. Sasa acha ulimwengu uendelee kumfundisha zaidi.
Wewe ndiyo zero hujielewi, anachokitafuta kivipi? Anakaribia kukipata vipi? Kwani Tume isiyo huru haitendi haki unataka akae kimya ili iweje? wewe acha kujidai mungu hujafa hujaumbika hapo ulipo waweza kuwa kilema hata usiku hii acha kebehi za kishamba toka chato
 
Consequence zakuendelea kufanya kampeni zinaweza ku justify hatua ingine kubwa zaidi na ya kuumiza.Naamini NEC wakimkata kuendelea na uchaguzi hakuna kitakachotokea (kama ilivyotokea kwa JECHA).Atumie busara na ajenge hoja!!
Mwaka 2015 kipindi cha jecha ni tofauti na sasa 2020 watu wana hasira machungu na utawala wa kidikteta, mkifanya faulu za kishamba tokea chato lazima Amani ipotee kwa mda mpate kujifunza
 
Chama siyo yeye. Tatizo anachukulia yeye ni zaidi ya chama kwasababu mabeberu wanamjua yeye. Anataka afanye fujo ili mabwana zake wazungu waone.
Maccm ndiyo mnamfanyia fujo ili mabwana zenu Tume isiyo huru ipate kumkomoa kwa njia za kishamba shamba kama ipo chato
 
Ni Jambo la kipuuzi Kama NEC wanadhani kuwa Tundu akisimamishwa kufanya kampeni Basi atakuwa amepoteza wapiga kura, hizo Ni fikra mufilisi.

Ukweli Ni kwamba kwa muda huu ambao Tundu amezunguka umemtosha kumpatia ushindi wa kishindo.

Kwa muda mfupi huu Tundu amefichua ufisadi na wizi unaofanywa na viongozi waliooo madarakani kwa sasa na hata kwa waliopita.

Kosa kubwa kwa NEC hawakutambua kuwa Lisu angekuwa msumari wa Moto mkali kiasi hiki kwenye kidonda Cha CCM na watawala.

NEC wanajuta kwa kosa la mkumpitisha kuwa mgombea na laiti wangelitambua kuwa jamaa Ni Moto kiasi hiki Nina hakika wasinge mpitisha. Sasa muda huu Ni hakika kuwa kila mpiga kura katika nchi yetu amesha amua kuwa kura yake itakwenda wapi.

Tundu Lisu kwa kazi aliyo ifanya kwa muda huu mfupi inatosha hata Kama angezuiwa kufanya kampeni Hadi siku ya kupiga kura bado anauwezo wa kushinda Tena kwa kishindo kikubwa mno.

Viva Tundu kwa kuamua kuwaletea watanzania mabadiliko makubwa ya kimfumo.
 
Bila shaka mods wakusaidie kurekebisha kichwa cha habari, au ulikusudia kusema "Atashindwa uchaguzi guy" ?
 
Ni Jambo la kipuuzi Kama NEC wanadhani kuwa Tundu akisimamishwa kufanya kampeni Basi atakuwa amepoteza wapiga kura, hizo Ni fikra mufilisi...
Atashinda uchaguzi huu kwa kishindo. Moderater rekebisha.
 
Bila shaka mods wakusaidie kurekebisha kichwa cha habari, au ulikusudia kusema "Atashindwa uchaguzi guy" ?
Asante kwa kukuona hilo naomba msaada huo wa marekebisho tafadhali.
 
Anajua hawezi iushinda. Anaogopa aibu. Mana uchaguzi ukipita atakuwa irrelevant except for some verrückte Personen wa humu wanaojitangazia kushindwa kwa woga na visingizio. Wanaogopa vivuli vyao kiasi wamekuwa wanatunga uzi kila siku kujifariji.

Kilichobaki kutafuta cheap popularity. Wampumzishe alete fujo. Apate ajenda ya kumove nayo baada ya kipigo cha mbwa koko cha Oktober 28,2020.

Ukiona mtu mzima anashindwa hata kuomgelea Corona katika kampeni wakati ndo ajenda yake alipokuwa nje ya nchi. Akimshusha Rais wa nchi na wapambe Wake humu Wakifotoa uzi kwa uzi kuhusu vifo mamilion vya watz. Unajiuliza kama tunadili na watu au Mitglieder wa Mirembe.

Je. Tume isifuate mkondo. Hapana sheria fuatwe Ila Kwa huruma Pia mana, hawadili na mtu mzima kichwani. Anatafuta scapegoat. Msimpe. Kumbukeni wa Mbili havai moja.

By the way, naipenda nchi yangu Tz kuliko mambo ya vyama vyama. Katika mazingira ya Tz ya Sasa. JPM is the Right Guy as the Nigerians would have said. Maneno yake makali na pengine angeweza boresha hotuba zake, BUT kama hotuba nzuri za Mwalimu Nyerere tunazo na bado zina Stand the Test of Time, tunachohitaji Ni Mtendaji asiyemung‘unya maneno kwenye utendaji na maamuzi. JPM all the way. Yesterday. Today and Tomorrow. 5 years more and they will be enough.
 
Back
Top Bottom