Lissu anaumia kwa sababu ya ubinadamu wake kwa watu anaoona wanateska kwa nchi walopewà na Mungu,hivyo anajitoa mhanga ,hagombei kwa ajili ya manufaa yake maana akikaa kimya bila kugombea risasi zitaendelea kumiminwa kwenye mwili wake.Kuacha kugombea dunia itajua mambo ni mazuri Tanzania huku tumekalia kaa la moto.Mungu tenda kwa Lissu,tupate raha kwenye nchi uliyotuumbia Mungu wetu.Kama haiamini tume kwanini ashiriki uchaguzi? Si angeacha? Hiyo ingeleta maana kuwa kuna matatizo kwenye tume. Ni sawa na muumini anayemuomba Mungu bila kujua kuwa Mungu anaweza kufanya hicho anachokiomba. Wote wanaomuomba Mungu wanatumaini kuwa yupo na anaouwezo.
Kubahatisha hakufai