Uchaguzi 2020 Tundu Lissu asema ataendelea na Kampeni. Adai Sheria ya Maadili imevunjwa kumsimamisha Kampeni

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu asema ataendelea na Kampeni. Adai Sheria ya Maadili imevunjwa kumsimamisha Kampeni

Kama haiamini tume kwanini ashiriki uchaguzi? Si angeacha? Hiyo ingeleta maana kuwa kuna matatizo kwenye tume. Ni sawa na muumini anayemuomba Mungu bila kujua kuwa Mungu anaweza kufanya hicho anachokiomba. Wote wanaomuomba Mungu wanatumaini kuwa yupo na anaouwezo.

Kubahatisha hakufai
Lissu anaumia kwa sababu ya ubinadamu wake kwa watu anaoona wanateska kwa nchi walopewà na Mungu,hivyo anajitoa mhanga ,hagombei kwa ajili ya manufaa yake maana akikaa kimya bila kugombea risasi zitaendelea kumiminwa kwenye mwili wake.Kuacha kugombea dunia itajua mambo ni mazuri Tanzania huku tumekalia kaa la moto.Mungu tenda kwa Lissu,tupate raha kwenye nchi uliyotuumbia Mungu wetu.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] ngoja niwaambie kwa upole tuu MTAKAO UMIA NI NYINYI MISKULE yake hamuwezi kujifanya arrogant sababu ya icj
huu mchezo hauitaji hasira na huu ni mtego mnajiingiza kichwakichwa kubishana na vyombo halali

Mtachapika na asitokee mtu wa kuwasaidia

naona serkali ishajivua na lawama kama zitatokea vurugu + serkali inapata uhalali wa kuwashughulikia perpendicular

hapa lisu amekurupuka!!
Mkuu nashindwa kujua huyu lissu anajiamini nini hadi afikie hatua za kupingana na tume ya uchaguzi

Hivi kweli mwalimu mkuu anasimama na kuutangizia umma wa wanafunzi kuwa mwanafunzi X hapaswi kuwa darasani kwa muda wa siku saba kutokana na utovu wa nidhamu dheni mwanafunzi huyo asimame na kusema nitaingia darasani?

Nadhani kwa akili ndogo ya darasa la saba kinachofuata hapo ikiwa huyo mwanafunzi atakaidi ni kuitisha kikao cha bodi na kumfuta kabisa huyo mwanafunzi.
 
Kama alivyojinasibu jana kuwa kesho siku ya Jumapili ataendelea na kampeni kama ratiba mnavyomuelekeza. Sasa je akifanya hivyo ni adhabu gani atakayopewa na Tume ya maadili ya uchaguzi.
 
Apumzike tu, mbona kesha piga vya kutosha. Siku ishirini zilizobaki atazunguka tena.
 
Kama alivyojinasibu jana kuwa kesho siku ya Jumapili ataendelea na kampeni kama ratiba mnavyomuelekeza. Sasa je akifanya hivyo ni adhabu gani atakayopewa na Tume ya maadili ya uchaguzi.
Yana mwisho wake, mmoja hawezi kuwazidi/ kuwashinda polisi, mahakama na tume wakati wote
 
Anayo yafanya Lisu sasa katikati ya uchaguzi ni matokeo ya mamlaka inayohusika na uchaguzi kutokuwa imara hapo awali, dalili za uvurugaji za mgombea wa CHADEMA zilionekana mapema sana....akikaidi apewe adhabu kubwa zaidi ya yasasa, wakimwacha wajiandae kwa vituko vingine vingi na vya hatari zaidi
 
Kama alivyojinasibu jana kuwa kesho siku ya Jumapili ataendelea na kampeni kama ratiba mnavyomuelekeza. Sasa je akifanya hivyo ni adhabu gani atakayopewa na Tume ya maadili ya uchaguzi.
Kwa nini aendelee?
 
Hivi kweli mwalimu mkuu anasimama na kuutangizia umma wa wanafunzi kuwa mwanafunzi X hapaswi kuwa darasani kwa muda wa siku saba kutokana na utovu wa nidhamu dheni mwanafunzi huyo asimame na kusema nitaingia darasani?

Nadhani kwa akili ndogo ya darasa la saba kinachofuata hapo ikiwa huyo mwanafunzi atakaidi ni kuitisha kikao cha bodi na kumfuta kabisa huyo mwanafunzi
 
Ata wekwa mahabusu siku saba, akitoka ataendelea na kampeni. Tii Sheria bila shuruti.
 
Anayo yafanya Lisu sasa katikati ya uchaguzi ni matokeo ya mamlaka inayohusika na uchaguzi kutokuwa imara hapo awali, dalili za uvurugaji za mgombea wa CHADEMA zilionekana mapema sana....akikaidi apewe adhabu kubwa zaidi ya yasasa, wakimwacha wajiandae kwa vituko vingine vingi na vya hatari zaidi
Wewe ni mmoja Kati ya wanaojitambua wengi wapo kwenye ushabiki zaidi
 
Back
Top Bottom