Hivyo wala siyo vigezo bali ni kutegeana kwa kumuogopa, woga ni kitu kibaya sana..Vigezo na masharti kuzingatiwa, kama hatimizi atakatwa, wote tunapitia hayo kwenye maisha yetu, tusipotimiza vigezo vilivyowekwa aidha kwa kujua au kutokujua tunakatwa, ...
Kweli kabisa, nilikuwa nasikiliza live ghafla ikabaki mikelele tuu.... Sauti hakunaTCRA wamekata matangazo
Woga huu.Mimi natamani akatwe jina lake halafu nione Hawa Mbwa wa ufipa watafanyaje !
Maana wakiwa mtandaoni wanabweka Kama Mbwa Koko ukiwapeleka field zero tupu.
Mkuu hyo alietumwa naamini wamemkatia mbali huko mana ndy anaewatesa indirectly sasa !!Dunia hadaa!!Na hichi ndicho kinachowatesa muda huu nadhan aliepewa mlungula amuue lissu saivi lawama zote ziko kwake, jamaa antataga vibaya zile risasi zimempaisha juu kuliko yule ndege anayeitwa kipanga. Tundu Lissu ni adui aliyetengenezwa subiri movie ianze itawa cost sana upande ule
Endelea kutamaniMimi natamani akatwe jina lake halafu nione Hawa Mbwa wa ufipa watafanyaje !
Maana wakiwa mtandaoni wanabweka Kama Mbwa Koko ukiwapeleka field zero tupu.
Hahahaha Mpwa hhabari za siku nyingi, ulipotea sana sanaJk, anawapa salamu yupo anakunywa kahawa mswahili yule🤣🤣
Na KANU wakati ule inaanguka ilikuwa chama chenye watu makini kwelikweli, sembuse hii CCM yenye watu midabwada kama Polepole, Bashiru nk ambao wanachojua ni kumwimbia mtukufu nyimbo za kumsifu tuu!Ccm lazima ianguke mwaka huu na kitakuwa historia kama Kanu Kenya.
Thubutu!!Ni wazi TAL ni mgonjwa wa akili pia, Kabla ya hizi consequences anazozitaka zitokee atuambie kwanza yeye kama mtanzania amelifanyia nini taifa lake zaidi ya kuhangaika kwa mabeberu? Huyu anatamani hata watu wakose madawa hospital wafe, Aandae tu magongo ya kuingia peke yake barabarani mana hakuna mtanzania mwenye akili timamu atamhadaa
[emoji23][emoji23],Magazine nzima imeshindwa kuua mtu aisee,Hata kama ni mimi lazima niziongelee ili wabaya wangu mzidi kuweweseka... Yaani magazine nzima halafu umeshindwa kunitoa uhai nisiongelee?
Wewe ulipigwa makofi matatu na mjomba ako ukiwa mdogo unayakumbuka hadi leo sembuse risasi zaid ya 30 tena hata miaka 3 haijapita, muache azungumzie, kinakuuma nini labda mzee??Lissu hawezi kuzungumza bila kuongelea risasi zakeHawezi kwenda ikulu kwa kuwaeti alipugwa risasi 100 hakufa
Mpuuzi tu ndio atauliza upuuzi kama wako! Aliyoyafanya TL ni makubwa na yanagusa maisha halisi ya watuNi wazi TAL ni mgonjwa wa akili pia, Kabla ya hizi consequences anazozitaka zitokee atuambie kwanza yeye kama mtanzania amelifanyia nini taifa lake zaidi ya kuhangaika kwa mabeberu? Huyu anatamani hata watu wakose madawa hospital wafe, Aandae tu magongo ya kuingia peke yake barabarani mana hakuna mtanzania mwenye akili timamu atamhadaa
Alafu ukute zinaongozwa na wanaume ..ndo maana wanaume mmebaki wakuhesabu aiseeMedia kubwa hazipo kisa ni maagizo ya Bwana yule.
Wana CCM waandamizi ndani ya serekali iliwagharimu takribani miaka 20 kumwelewa Lissu. Sasa wewe una muda gani tangu uanze kumsikia?Ni wazi TAL ni mgonjwa wa akili pia, Kabla ya hizi consequences anazozitaka zitokee atuambie kwanza yeye kama mtanzania amelifanyia nini taifa lake zaidi ya kuhangaika kwa mabeberu? Huyu anatamani hata watu wakose madawa hospital wafe, Aandae tu magongo ya kuingia peke yake barabarani mana hakuna mtanzania mwenye akili timamu atamhadaa