BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,353
- 5,800
-hapo maana yake ameongoza jamii ya wasomiMkuu samahani ,hivi alipokuwa rais wa TLS ulikuwa bado hujazaliwa ? Kama ulikuwepo utaweza nikumbusha alipitia figisu zipi kabla ya uchaguzi kufanyika wa TLS ?
Nawaambia Kama ilivyoandikwa kwenye Vitabu vitakatifu Biblia na Quran Kuna siku yaja Tundu Lissu atakuja kuwa Rais wa nchi hii.
Kama ambavyo Mkapa, Kikwete na Magufuli walipambana na Tundu Lissu wakashindwa.
Ila Rais Samia yeye ataanguka kabisa iwepo Katiba mpya au isiwepo Tundu Lissu will become the next president after Samia.
Tunza hii kwenye kumbukumbu ya memory ya kichwa chako kwamba Tundu Lissu atakuja kuwa Rais wa nchi hii.
Mimi nachokumbuka tu kwenye kumbu kumbu zangu na wewe unikumbushe kama nimesahau Tundu Lissu hajawahi kushindwa jambo.Mkuu samahani ,hivi alipokuwa rais wa TLS ulikuwa bado hujazaliwa ? Kama ulikuwepo utaweza nikumbusha alipitia figisu zipi kabla ya uchaguzi kufanyika wa TLS ?
🤣🤣🤣🤣kaka umenikumbusha hilo Dude jamaa katembea nalo Nchi nzima. Awali nilijua ni Bonge la WeaponHuyu mwamba alipambana na mkuu wa majeshi huku yeye akiwa na mlinzi mwenye mkuki. Hapo tu inabidi umvulie kofia.
Kuhusu kushinda au kuwa Rais bora, kuna factors nyingi ambazo zinaweza kuwa nje ya uwezo wa Lissu kuzicontrol ila haina mashaka UZALENDO wake kwa nchi hii.
View attachment 2369257
Wakati anatembea na hili limkuki la nondo mwenzake alikuwa anatembea a Bombs and Nuclear Jammers😅😅Huyu mwamba alipambana na mkuu wa majeshi huku yeye akiwa na mlinzi mwenye mkuki. Hapo tu inabidi umvulie kofia.
Kuhusu kushinda au kuwa Rais bora, kuna factors nyingi ambazo zinaweza kuwa nje ya uwezo wa Lissu kuzicontrol ila haina mashaka UZALENDO wake kwa nchi hii.
View attachment 2369257
Ningeshangaa Pascal kama ungepinga na hili.Kwanza naunga mkono hoja, ila...
DCEA ongezeni Juhudi zenu katika kuhakikisha Matumizi ya Bangi, Mihadarati na Dawa za Kulevya yanapungua kwa Watumiaji wake wengi nchini Tanzania.Nawaambia Kama ilivyoandikwa kwenye Vitabu vitakatifu Biblia na Quran Kuna siku yaja Tundu Lissu atakuja kuwa Rais wa nchi hii.
Kama ambavyo Mkapa, Kikwete na Magufuli walipambana na Tundu Lissu wakashindwa.
Ila Rais Samia yeye ataanguka kabisa iwepo Katiba mpya au isiwepo Tundu Lissu will become the next president after Samia.
Tunza hii kwenye kumbukumbu ya memory ya kichwa chako kwamba Tundu Lissu atakuja kuwa Rais wa nchi hii.
Kwenye vitendo bado una mashaka na Lissu? Unatakiwa ujifunze zaidi kuhusu huyo Mwamba.Sawa tu..apunguze tu mihemuko..
Utawala unahitaji utendaji zaidi..vitendi..kuliko maneno
Akija kua rahisi niite mbwa nimekaa paleNawaambia Kama ilivyoandikwa kwenye Vitabu vitakatifu Biblia na Quran Kuna siku yaja Tundu Lissu atakuja kuwa Rais wa nchi hii.
Kama ambavyo Mkapa, Kikwete na Magufuli walipambana na Tundu Lissu wakashindwa.
Ila Rais Samia yeye ataanguka kabisa iwepo Katiba mpya au isiwepo Tundu Lissu will become the next president after Samia.
Tunza hii kwenye kumbukumbu ya memory ya kichwa chako kwamba Tundu Lissu atakuja kuwa Rais wa nchi hii.
Tundu is a VictorNawaambia Kama ilivyoandikwa kwenye Vitabu vitakatifu Biblia na Quran Kuna siku yaja Tundu Lissu atakuja kuwa Rais wa nchi hii.
Kama ambavyo Mkapa, Kikwete na Magufuli walipambana na Tundu Lissu wakashindwa.
Ila Rais Samia yeye ataanguka kabisa iwepo Katiba mpya au isiwepo Tundu Lissu will become the next president after Samia.
Tunza hii kwenye kumbukumbu ya memory ya kichwa chako kwamba Tundu Lissu atakuja kuwa Rais wa nchi hii.
AmenMungu ambariki Tundu Antipas Lissu maana ana vigezo vyote vya kuliongoza taifa hili katika utawala bora wa sheria.
Magufuli hakuwahi kuwa hata katibu wa TawiMtu hajawahi hata kuwa Mwenyekiti wa chama, ndiyo aje kuwa rais!!?
Uzuri wanakufa wenye na maboss zao (jiwe)..subiri matusi ya nguoni toka kwa uv-ccm.
..matusi ya uv-ccm yangekuwa yanaua Tz kungeweza kuwa genocide.
Akitaja nistue-hebu taja miongoni mwa kauli za Lissu za kuwagawa watanzania
-
- hebu taja kitu alichoropoja lissu ambacho ni cha hovyo?
- Kwa hiyo mtu mkimwa ndio anafaa kuwa Rais?
Swadakta !Huyu mwamba alipambana na mkuu wa majeshi huku yeye akiwa na mlinzi mwenye mkuki. Hapo tu inabidi umvulie kofia.
Kuhusu kushinda au kuwa Rais bora, kuna factors nyingi ambazo zinaweza kuwa nje ya uwezo wa Lissu kuzicontrol ila haina mashaka UZALENDO wake kwa nchi hii.
View attachment 2369257
Takhbiirrrr !!!!Tundu is a VictorView attachment 2369262
Kila mtu ana majaliwa yake na Magufuli kaweza kuwa rais kupitia chama cha ccm.Hivi kama Magufuli aliweza kuwa Rais unadhani kuna Mtanzania atashindwa ?
Nitakupa referencw ndogo ndogo visa vifuatavyo.Wapi kweny hivyo vitabu wamesema hivo?
Chiba Lissu.Rais wa manyumbu pale ufipani labda