Tundu Lissu atakuja kuwa Rais wa nchi hii

🙏🙏🙏🙏kweli
 
Hizi ni pumba andamizi.kukiwa na katiba mpya inayofuatwa na tume huru ya uchaguzi.TL atakua rais.polisi na mahakama wasipotumika na ccm,nani wa kumzuia TL ikulu???.usikariri
 
Hakuna mnyiha mwenye akili mbozi yote,magufuli na lisu nani anajua kuropoka???
 

Aaaa wapi, nadhani unafikiri rais ni Mungu, aliowatuma ndio walimuangusha. Na kwa taarifa yako hakutegemea kama atapona. Na ingetokea Lisu kuletwa Muhimbili kama alivyotaka, leo hii yeye na Lisu wote wangekuwa na sifa ya marehemu.
 
Tangu nisome uzi wa Dark days 170320 Haitokaa itokee ni waamini wanasiasa au wanaojiita wanaharakati. Ni upumbavu trash kabisa[emoji41]
 
Bangi utaacha lini
 
Never too late to prepare 'Cause many things you fear have been in place for years.

Nothing Impossible under the sun.
 
 
Mayalla ni Looser😅
 
Na ikitokea akawa Rais mimi Mtoto wa Shule nitajisaidia na kupanga kinyesi changu kuanzi kwangu Kijijini Rubambangwe hadi Makao Makuu ya Nchi Dodoma!
 
Bila vyombo vya habari mwamba alitoboa, yaani watu walipashana habari na kupeana ratiba kwa mitandao tu, na watu wakampokea kwa wingi sana Lisu lazima aje awe rais wa hii nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…