Walimshambulia kwa mapanga, akavuja damu nyingi mpaka akakata roho kwa kucheleweshwa kupelekwa hospitali, pale siasa inapogeuzwa vita vya mwilini badala ya hoja, na bahati mbaya kwasababu wao wanazo silaha za kudhuru miili mpaka kutoa uhai, ushindi unakuwa kwao.

Iko siku hizi damu wanazozimwaga zisizo na hatia, zitawageukia wao na vizazi vyao, wapatwe na majanga wasijue sababu, haki ya mtu haipotei bure.
 
Jambo jema.Bilashaka mwanae anaishi kwa Lema.CHADEMA waendelee na moyo huohuo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…