Misimamo mikali ndio inayowatofautisha. Samia pia ana msimamo mkali kama chama chake ccm, ni kuamini katika wizi wa kila nyanja kuanzia kwenye kura!Teh teh π π Lissu bhana....
huyu jamaa ni mwanasiasa machachari sana japo ana misimamo mikali.
Hebu tupe ushahidi kidogo furaha yako kubwa kabisa kwenye hili ipo kwenye kipi? Ambacho kina maslahi na taifa.wameyaganyaga huku anasota korokoroni?π€£
Good to have seen it. Anaenekana kama mropokaji flani hivi anayetaka kuona watu wanamuona kuwa anajiamini sana. Kuna mentality za utoto utoto mwingi sana. Au alikuwa anataka kuona kama Askari wata react wakati anaropoka ili fujo ianze na kuwe na headline kwenye magazeti. Very professional askari wamebaki kimya kabisa wakimsaidia kubeba mpaka begi lake la vitabu.Ila Lisu aongeze busara kidogo; I like him, angeacha uropokaji angekuwa the best! Basi tu Mungu awezi kukupa kila kitu, I pray for him!
No reforms no election sio hoja?Kuongea kwa kufoka au la si muhimu cha muhimu hoja
Good to have seen it. Anaenekana kama mropokaji flani hivi anayetaka kuona watu wanamuona kuwa anajiamini sana. Kuna mentality za utoto utoto mwingi sana. Au alikuwa anataka kuona kama Askari wata react wakati anaropoka ili fujo ianze na kuwe na headline kwenye magazeti. Very professional askari wamebaki kimya kabisa wakimsaidia kubeba mpaka begi lake la vitabu.
Dawa za watu sampuli hii ni kutokuwapa attention tu kama kile kipindi walichotangaza maandamano ncho nzima.
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Miongoni mwa mambo aliyofanya ni kutoa salamu ya No reforms, no election, kuwaambia wafuasi wake kuwa wapo vizuri lazima kesi yake iendeshwe hadharani kwenye mahakama ya wazi.
Pia anaonekana yupo imara sana, mwingi wa furaha. Amesema waliomshtaki wameyataka wenyewe hivyo watayapata.
Pia soma
Bonge la Shujaa. Harakati kama late Morgan TsvangiraiLissu ni Shujaa
uttoh2002 samahani mkuu, wewe ni mwanaume rijali au ushaleft group? Sijawahi kuona au kusikia mwanaume anaboreka! Hizo tabia za kike kike.Kuropoka sio kusema uongo, improve your swahili
Kaniboa huo ushabiki na uropokaji hapo mahakamani!
Usipompa attention wewe sisi tutampaGood to have seen it. Anaenekana kama mropokaji flani hivi anayetaka kuona watu wanamuona kuwa anajiamini sana. Kuna mentality za utoto utoto mwingi sana. Au alikuwa anataka kuona kama Askari wata react wakati anaropoka ili fujo ianze na kuwe na headline kwenye magazeti. Very professional askari wamebaki kimya kabisa wakimsaidia kubeba mpaka begi lake la vitabu.
Dawa za watu sampuli hii ni kutokuwapa attention tu kama kile kipindi walichotangaza maandamano ncho nzima.
Ukiacha kutumia kinyeo kufikiri utakuwa mtu wa maana kabisaHakimu ahairishe kesi hadi June 13 aendelee kukaa kaa ndani hicho kitambi kiishe, na mkuu wa Gereza ahamishwe mara moja inaonekana anambeba beba sana
Ataanza mitusiNatamani ajiteee mwenyewe badala ya mawakili asaidie na Kibatala
Uropokaki upi mkuu, usilinganishe uwoga ulionao wewe wa kutii jengo la mahakama na kutetemeka bila kujali kosa ulilonaloIla Lisu aongeze busara kidogo; I like him, angeacha uropokaji angekuwa the best! Basi tu Mungu awezi kukupa kila kitu, I pray for him!
Hapo Mahakamani karopoka sana na ushabiki wa hovyo kabisa! Nimeona aibu Mimi, I real like him!
Utakuwa na pepo mchafu wewe ndiye anakuboaKuropoka sio kusema uongo, improve your swahili
Kaniboa huo ushabiki na uropokaji hapo mahakamani!
Wale majambazi wa jambazi mkuu Muliro ndiyo waleta fujo siku zote.Si unaona kuna amani na hakuna fujo!kwa sababu wanaoletaga fujo ni askari wanapojaribu kutumia nguvu kuwanyima watu wafike mahakamani kama ilivyokuwa wakati wa nyuma
Hiyo sio kuropoka bali anawatia hasira upande ule, ni kama ilivyo kwenye mieleka au kick boxing opponent wako wanakuyia hasira usiweze kuwaza Kwa logicIla Lisu aongeze busara kidogo; I like him, angeacha uropokaji angekuwa the best! Basi tu Mungu awezi kukupa kila kitu, I pray for him!
Hapo Mahakamani karopoka sana na ushabiki wa hovyo kabisa! Nimeona aibu Mimi, I real like him!