Uchaguzi 2020 Tundu Lissu atua Katoro - Geita kwa kishindo

Huyu ndiyo tunayemtaka atuongoze kwa haki uhuru na maendeleo ya kweli kwa watu wote
 
Umeshafungua hiyo video hapo juu mkoani geita inakopatikana wilaya ya chato?

Huwezi kulinganisha mikutano ya mpayujaji Lissu na ya Rais JPM, wala Makamu Samia, wala PM Majaliwa, huu ndio ukweli mchungu kwa cdm na wale mnaomchukia JPM na Serikali yake.
 
Wana weweseka ,walisha tamba Miaka 5 na mamiradi wakati Raia wana taabika.Hata walio patwa na Majanga hawakusaidiwa zaidi ya kusimangwa na kudhihakiwa.

Baada ya uchaguzi 28/10/2020 wembe ni ule ule hakuna nafasi ya ule upuuzi wa kuendeleza mikutano ya hadhara ya kisiasa isiyo na tija yeyote. Kaa ukijua hilo.
 
Huwezi kulinganisha mikutano ya mpayujaji Lissu na ya Rais JPM, wala Makamu Samia, wala PM Majaliwa, huu ndio ukweli mchungu kwa cdm na wale mnaomchukia JPM na Serikali yake.

Unaandika nadharia tu kutoka Kichwani kwako kwa kusukumwa na unacho kijua ,ukiambiwa ithibitishe uropokaji hauwezi.Mzee wako anaisoma tu Ilani ya Chadema na ku'copy and paste.
 
Baada ya uchaguzi 28/10/2020 wembe ni ule ule hakuna nafasi ya ule upuuzi wa kuendeleza mikutano ya hadhara ya kisiasa isiyo na tija yeyote. Kaa ukijua hilo.

Tunajua mmezoea kuvunja Sheria hata zile mlizo zipitisha wenyewe Bungeni ma CCM ,ni kawaida yenu ila ni ajabu na haifai kwa Chama cha Siasa na wana Chama kushabikia uvunjwaji wa Sheria za Nchi.

Tunapo sema CCM haifai tuna maanisha ..
 
Hata huoni Tena ya Leo funga kazi hizo picha kama za nchi ya Burkina Faso angalia na usikikize wasindikizaji lugha wanayoongea hata haieleweki Ni ya wapi.Hongera Sana Kitengo Cha uchakachuaji picha Cha Chadema.Mumetisha leo
😂😂😂😂 poleee mataga!!! Naona mmeumia sana shujaaa wa Mungu kukubaliwa kwa kishindo na wana Geita eeh????

Tulieni tu, tuliwaambia mtajua hamjui mwaka huu

Lissu ndo Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020 - 2025. Mtake msitake
 
Tunapo sena Lissu ni kibaraka na adui wa Taifa hili la Tanzania tunamaanisha hivyo pia.

Sawa ,ndio sababu mlijitahidi kumuua lakini Mungu akalikataa hilo kwa Mkono wake akamuepusha na Mauti.Hichi kisingizio cha kumtuhumu Mtu kuwa ni kibaraka hata ANC ya wakati huo iliitumia hii Sababu yenye nia ovu na kuwa nyanyasa Raia wengine walio kuwa wakiwakosoa..
 
We unaona sifaa kukitokea machafuko. We unafikiri yakitokea utajificha na familia yako kwenye keyboard ya Computer au ya simu. Embu muwe mnashirikisha ubongo kabla ya kukaa kuandika ushabiki wa uvunjifu wa amani.
 
Chadema hii sasa sifa! Khaaa!!!
 
Mungu kamfundisha Lissu kuona kionjo cha madhila ya wale aliokuwa anawashawishi kupambana na vyombo vya dola na wakadhurika na kupoteza maisha. Msmidanganye Lissu mwambine ukweli ili apone. Ziko damu bado zinamlilia za wale alio wahadaa tena bado hazija nyamaza, ukweli mchungu huu.
 
We unaona sifaa kukitokea machafuko. We unafikiri yakitokea utajificha na familia yako kwenye keyboard ya Computer au ya simu. Embu muwe mnashirikisha ubongo kabla ya kukaa kuandika ushabiki wa uvunjifu wa amani.
Kikubwa ni Haki
 
Hata huoni Tena ya Leo funga kazi hizo picha kama za nchi ya Burkina Faso angalia na usikikize wasindikizaji lugha wanayoongea hata haieleweki Ni ya wapi.Hongera Sana Kitengo Cha uchakachuaji picha Cha Chadema.Mumetisha leo
Kwahiyo lissu alikuwa Burkina faso leo. Tafuta panadol umeze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…