ngalelefijo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 3,966
- 2,596
You must be a daughter of one of ccm coward leadersEndeleeni kumdanganya Lussu. EU wenye akili wamesha kubali ya ishe. Lissu is a losing horse and curse to this nation "Tanzania" Someone needs to be out of his/her mind to support him.
Umeshakata tamaa.😂😂Eti huyu Mbwa ndiyo awe Rais big no kwa namna yoyote ile hawezi kuingia Ikulu.View attachment 1578601
Akili zenu visodaDuh kweli sasa sifa CDM, nawaza sijui mkuu anafikiria nini kuvamiwa hivi uvunguni mwake.
EU ya chato au?Endeleeni kumdanganya Lussu. EU wenye akili wamesha kubali ya ishe. Lissu is a losing horse and curse to this nation "Tanzania" Someone needs to be out of his/her mind to support him.
Angepewa haki ya kugawa pumzi wallahi hakuna angelibaki duniani,waulizie biharamulo ndo wanajua visasi vyake kawanyima maendeleo sababu walimyima ubungeHehehe roho mbaya yake imemponza na Mbowe bado anadunda.
Hawa hawa bado wako Chadema. Lete wa CCM nao tuone.Akili zenu visodaView attachment 1578632
Hii picha ya Slaa Tunduma mbona unaipenda sana mkuuAkili zenu visodaView attachment 1578632
Hawa wote bado wako chadema. Jipe moyo.Bavicha vichwa ngumu! Kwa hiyo hapo Lisu kashashinda?
Hivi huyo Lisu wenu anaingia mara ngapi hapa? [emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1578629View attachment 1578630
Ukiishiwa hoja kuwa msomaji tu!Hili ni jukwaa la watu wanaojielewa,sio Facebook hapa au instagram kwa waropokaji!Labda Rais wa kwako na mama yako, nani amruhusu mtu anayefunuliwa mtaro aingie Ikulu.
Kazi yako ni ngumu sana mtanzania mwenzanguHata huoni Tena ya Leo funga kazi hizo picha kama za nchi ya Burkina Faso angalia na usikikize wasindikizaji lugha wanayoongea hata haieleweki Ni ya wapi.Hongera Sana Kitengo Cha uchakachuaji picha Cha Chadema.Mumetisha leo
Huwa ninacheka sana unavyoteseka ukiona nyomi la Lissu😁😁!Bavicha vichwa ngumu! Kwa hiyo hapo Lisu kashashinda?
Hivi huyo Lisu wenu anaingia mara ngapi hapa? [emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1578629View attachment 1578630
Yani mataga sijui akili wameweka wapiHawa wote bado wako chadema. Jipe moyo.
Aisee kura zitapigwa then zitahesabiwa. Pale kwenye majumuisho ndio huwa wanaingiza za kwao. Sisi tutakuwa nazo za kwetu. Aisee tukishinda watatutangaza tu. Wapende wasipende.Mimi swali langu la msingi ni hili:-
• Wapinzani watahakikishaje kuwa kuna Tume huru ya uchaguzi?
Utamzuiaje CCM kuiba kura?
Taga, MEGAF00L huwa hasimamishwi, Watz tunaju huwa anafanyajeBro yaani umezidisha chumvi sote tumeona taarifa ya habari kupitia ITV yaani watu aliowapata huyu jamaa hawafiki hata nusu ya watu waliomsimasha Magufuli akielekea chato.