Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awasili salama Dar es Salaam, atulia kwake kwa Mapumziko

Hivi kuna ugumu gani jamaa zetu wa CCM kutamka wazi 'IMEKWISHA' na kukata roho kisiasa?
Mbona hilo lingetupunguzia malumbano yasiyo sababu hadi mataifa makubwa yanatujadili?
Kwaheri ukoloni Kwaheri CCM

hahahah yaani bado mnawaza tu ushindi, mnajitahidi sana kujipa matumaini maana huu ndo uchaguzi mtu anatoka na 11% ya kura or less
 
Kuna sehemu una shida kwenye ubongo, hivi Hadi sasa hivi bado hujafanyiwa 'medical checkup' hapo Lumumba maana uandishi wako ni tabu sana!
 
28.10.2020 nitaenda kupiga kura yangu kwa ajili ya watanzania wote nitampigia Lisu na madiwani wa upinzani Mungu ibariki Tanzania sasa tumepata mgombea wa upinzani wa kweli
 
Kuna sehemu una shida kwenye ubongo, hivi Hadi sasa hivi bado hujafanyiwa 'medical checkup' hapo Lumumba maana uandishi wako ni tabu sana!

πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Umejuwaje shida ipo.. kama wewe ndie hujapitia.. wacha maandishi kusingizia. Kaa mukao wa kupokea.. ila πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰ nyingi..

Ila mutalia🀣🀣🀣
Njoo uchukue sale special furomu me.. yelo or grini or pamoja?
 
28.10.2020 nitaenda kupiga kura yangu kwa ajili ya watanzania wote nitampigia Lisu na madiwani wa upinzani Mungu ibariki Tanzania sasa tumepata mgombea wa upinzani wa kweli

Hongera sana kwa uamuzi.. jipigie makofi.. kwa kwenda kuwa.. ndani ya asilimia 1% ya wapiga kura..

Nambie kwa nini wataka kumupigia kura Lissu?
 
Hebu chagua hapo ipi inayokutosha Kati ya hizo [emoji116][emoji116]

Onyesha 'uzalendo'!View attachment 1587673

Ni muzuri sana.. hizo rangi si wajua mana yake ni bombaaaa.. bahati mbaya aisee.. kwangu hizo zitakuwa kubwa sanaaaa.. naamini umenunua nyingi na za wa mtaani kwako..

Kweli Magufuli jembe.. πŸ’― Rais tena na tena..
 
M/Mungu amsaidie huyu mwamba kwenye safari hii ya kuusaka uraisi aje atukomboe kwenye lindi la ufukara.
 
Niyeye Lissu Rais wa awamu ya6.
✌🏽✌🏽✌🏽✌🏽πŸ’ͺ🏽πŸ’ͺ🏽πŸ’ͺ🏽πŸ’ͺ🏽
 
Tarehe 28 Oktober.. Kura yangu kwa LISSU saaafiii! haina kuaribika hata kidogo. Napigia kura na mbunge wa CHADEMA safii, na diwani wa CHADEMA.

Uchaguzi huu MaCCM wakiiba kura zetu, Tutapasuana matumbo tulane maini wenyewe kwa wenyewe

#NIYEYE Rais wa awamu ya6. LISSU✌🏽
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…