Tundu Lissu: Baada ya kauli ya Serikali kututaka turudi, mimi na wenzangu tunajiandaa kurudi

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Salaam Wakuu,

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu yupo njiani anarudi

Hapa chini nimeweka nukuu alipokuwa anaongea na EATV

"Nimeambiwa niandike barua ili kudai gharama za matibabu, nimekusanya nyaraka zote zilizotumika kwenye matibabu kuanzia Dodoma, Nairobi hadi Ubelgiji, matibabu niliyoyapata baada ya Juni 2019 hayo hayahusiki kwa sabbau nilikuwa nimefutiwa ubunge,"

"Kwa mujibu wa sheria ya mafao ya viongozi wa kisiasa Tanzania, Mbunge ana haki ya kupata kiinua mgongo ambacho ni asilimia 40 ya mishahara yake kwa kipindi alichotumikia, pale Ubunge wake unapofikia ukomo iwe kwa kifo, kufukuzwa, kuachishwa, kujiuzulu,"

"Haya mafao yangu ya kisheria yalipaswa kulipwa Juni 29, 2019 nilipofutiwa ubunge na Job Ndugai, kama mnavyofahamu zama zile Mungu alikuwa hajaamua, kwahiyo nilinyimwa hayo mafao,"

"Rais @SuluhuSamia alipokuja Ubelgiji na nikapata fursa ya kuzungumza naye na kumuambia kwamba nisipolipwa mafao yangu sasa itakuwa ni kwa sababu yako, na akasema atalifanyia kazi, nimelipwa miezi kama miwili iliyopita.

"Leo Waziri Msauni amezungumza wale wote waliokimbia Tanzania kwa sababu za kisiasa warudi watakuwa salama, hiyo ni kauli ya serikali iliyotolewa Bungeni, hiyo ni hatua nzuri sana, sasa kitakachofanyika ni mimi na wenzangu kuandaa safari ya kurudi,"

Chanzo: EATVSaa1
 
Angekuwa huyu sasa ndio Waziri wa Mambo ya ndani sijui ingekuwaje

SURATI%20ZUBAA%20%20Ndio%20surati%20zubaa%2C%20pengine%20tumesomewa%2C%20Sivyo%20tusingebung'a...jpg
 
Oyoooooooooo!! Karibu sana kamanda mpiganaji, mwana wa mungu, ambaye kila anayekudhulumu anaaibika (Kama Ndugai) ama anakufa (Kama Jiwe).

Jiwe huko aliko aongezewe ukali wa moto unaomuunguza, shetwani mwanaharamu huyu.

Karibu sana mwanasheria msomi
 
Rais @SuluhuSamia alipokuja Ubelgiji na nikapata fursa ya kuzungumza naye na kumuambia kwamba nisipolipwa mafao yangu sasa itakuwa ni kwa sababu yako, na akasema atalifanyia kazi, nimelipwa miezi kama miwili iliyopita.
Huyu mwamba ana mitego sana. Nisipolipwa itakuwa sababu yako. Kwa maana walioninyima hawapo wewe ndio mwenye kijiti na unaweza kuamua nilipwe. Maana yake nisipolipwa na wewe unakua miongoni mwao😅😅😅
 
Salaam Wakuu,

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu yupo njiani anarudi

Hapa chini nimeweka nukuu alipokuwa anaongea na EATV

"Nimeambiwa niandike barua ili kudai gharama za matibabu, nimekusanya nyaraka zote zilizotumika kwenye matibabu kuanzia Dodoma, Nairobi hadi Ubelgiji, matibabu niliyoyapata baada ya Juni 2019 hayo hayahusiki kwa sabbau nilikuwa nimefutiwa ubunge,"

"Kwa mujibu wa sheria ya mafao ya viongozi wa kisiasa Tanzania, Mbunge ana haki ya kupata kiinua mgongo ambacho ni asilimia 40 ya mishahara yake kwa kipindi alichotumikia, pale Ubunge wake unapofikia ukomo iwe kwa kifo, kufukuzwa, kuachishwa, kujiuzulu,"

"Haya mafao yangu ya kisheria yalipaswa kulipwa Juni 29, 2019 nilipofutiwa ubunge na Job Ndugai, kama mnavyofahamu zama zile Mungu alikuwa hajaamua, kwahiyo nilinyimwa hayo mafao,"

"Rais @SuluhuSamia alipokuja Ubelgiji na nikapata fursa ya kuzungumza naye na kumuambia kwamba nisipolipwa mafao yangu sasa itakuwa ni kwa sababu yako, na akasema atalifanyia kazi, nimelipwa miezi kama miwili iliyopita.

"Leo Waziri Msauni amezungumza wale wote waliokimbia Tanzania kwa sababu za kisiasa warudi watakuwa salama, hiyo ni kauli ya serikali iliyotolewa Bungeni, hiyo ni hatua nzuri sana, sasa kitakachofanyika ni mimi na wenzangu kuandaa safari ya kurudi,"

Chanzo: EATVSaa1
Mungu aliyeamua ugomvi ule hawezi kushindwa hata huko tunakoelekea.
 
Back
Top Bottom