Pre GE2025 Tundu Lissu: Bilioni 54 za kununua pikipiki "SSH 2025" zimetoka wapi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lissu ni muongo sasa bei anayotaja ni ya last consumer,hajataja bei ya jumla kwa mnunuzi,endeleeni kumwamini na kumchangia pesa baada ya wiki mbili atakuwa Amsterdam
Unaumia anavyochangiwa pesa? Achana na bei pikipiki ni hongo au ni nini? Kwa nini sheria ya uchaguzi haiheshimiki? Tuseme pikipiki bei kila moja ni laki moja tu,je ndio utaratibu kwa mgombea kujinadi kabla ya kampeni?
 
Unaumia anavyochangiwa pesa? Achana na bei pikipiki ni hongo au ni nini? Kwa nini sheria ya uchaguzi haiheshimiki? Tuseme pikipiki bei kila moja ni laki moja tu,je ndio utaratibu kwa mgombea kujinadi kabla ya kampeni?
Hujamsikia lissu naye kasema ataanza kampeni,shida iko wapi?
 
Kaa na ujinga wako nenda kariakoo ukanunue pili piki ya hiyo million kama utaipata punguzeni uzuzu hata kama nyie ni wajinga sana .
 
Hiyo bi9 mama katoa wapi?
 
Ni hela nyingi sana aisee.

Kama tunaweza kuchezea pesa nyingi kiasi hiki for nothing basi tutaendelea kukopa sana
 
Uongo mwingine sio kweli pikipiki za milioni moja laki mbili China bei ya jumla zije Tanzania za bikini 54 kila mtanzania angekuwa na pikipiki na chenji ikabaki ya kugawia pesa kibao kila mtanzania

Wazungu mnaofadhili Lisu na Chadema mjue mnaofadhili matapeli WA kisiasa mtajijua

Hivi Tundu Lisu anajua pikipiki za bilioni 54 toka China zinakuwa ngapi?

Chadema and Lisu financers mind your own pockets

It is up to you to finalise these liars and thieves of your contributions

These people are thieves
 
Hawana uwezo wa kutoa 54b za pikipiki hata kama wana vyanzo vya mapato.
Chadema mnajidhalilisha mbele ya jumuiya ya kimataifa hizo pikipiki China hazizidi milioni moja na laki mbili kiwandani ukiagiza nyingi

Endeleeni kutapeli wazungu
 
In Short one motorcycle of that kind in china doesn't cost more than one milion and two thousands Tanzania shilings at whole price in China

Tundu Lisu is the biggest political liar in the country

Those who finance Lisu and Chadema mind your pockets please
 
Chawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…