Tundu Lissu: CHADEMA haijapokea ruzuku hata senti 5, Baraza Kuu kukaa Machi au Aprili

Hujui lolote kuhusu Mandela wala Zuma na huwajui wazungu vizuri.
 
Ahahahhahaha! Ngoja nikusaidie kujibu; Mandela na Jacob Zuma walipendwa kwasababu ni maskini.
 
Hata kama iwe hivyo unavyofikiri itakua, lakini kaa ukijua, maana JPM na wenzake wanajua kuwa TAML anaweza kusimama peke yake, kutetea haki ikibidi. TAML ni mtu ambaye haangalii pesa wa cheo pale ambapo haki na wajibu vimekwepeshwa. Hadi TAML anafikwa na hali ile, usidhani kwamba hakuna jitihada za hali na mali zilizofanyika kum-weaken au kumlaghai aachane na mambo ya HAKI.

Iwe inavyokuwa, TAML anasema kile ambacho yeye kama makamu mwenyekiti anakijua na anachoelezwa aidha na Mbowe, Mnyika au watu wake wengine anaowaamini wanaweza kumpa taarifa sahihi.

All in all, vyovyote itakavyokuwa, TAML na baadhi ya wanachama wa CHADEMA hawakubali na hawatakubaliana na hao wanawake kwa kile kilichofanyika, yaani UASI.
 
Uko very shallow kwenye deep information za kinachoendelea nchini. Tundu Lissu alikuwaga mtetezi wa wanyonge kipindi cha Mkapa tu. Mwishoni mwa JK ni mmojawapo wa waliowekewa pesa za Lowassa kwenye account. 2017 aliungana na EMMMA advocates kuwatetea ACACIA unadhani ilikuwa ni FREE?!?.. Alipambania wazungu mpaka kuwapatia nyaraka zilizosababisha Bombadier Q400 isije ishikiliwe CANADA July 2017 unafikiri ilikuwa ni bure tu!?..

Sababu umejawa na mahaba na unaongozwa na ushabiki huwezi kuelewa haya niliyokwambia. Kama umebahatika kuwa na ndugu yako yeyote kwenye system unayemuamini kamuulize kuhusu haya atakwambia, kama huna sina namna ya kukuhakikishia zaidi ya kukuacha uendelee kushabikia mambo usiyoyajua. Ila nilichowahi kuwaapia ni kuwa Lissu hawezi kuwa Raisi wa nchi hii sio 2020,2025 bali ni NEVER. Ni kutokana na record yake ya usaliti juu ya taifa hili. Faili lake lipo na ushahidi usiotia shaka upo.
 

Amazing troll. “CCM na CDM ni walewale tu”. Sounds desperate but a nice last line of defence for CCM’s nastiness. After all, guys, when the chips are down, CDM is just like us! Therefore, you might better be with us than them; at least we got opportunities to offer.

Well, you got a damn nasty propaganda coach! Keep it up - treading on the raw, flayed nerves of CDM supporters. Just pray that you’re not actually stepping on the people’s toes.
 
Hali kadhalika na ndege pia,kama alicheza kwenye nafasi yake kama wakili,kosa lake liko wapi?
Hakuna kitu chochote unachoelewa, nakuhakikishia uko very shallow kwenye information za ndani za nchi hii. Endelea kucheza na ngoma za vijiweni na ushabiki wa vyama. Pengine huko baadae utabahatika kuujua ukweli. Hujui lolote kuhusu Mbowe, Lissu, Mnyika na wengine wengi. Kwa kifupi unashabikia mambo usiyoyaelewa. Ila ukiamua kuutafuta ukweli utaupata Ila sio lazima. Watu Kama wewe uwepo wao ni muhimu pia.
 
Huyo jamaa aache kulia lia huko Ubelgiji.
 
Niondokee na viingereza vyako vya kuokoteza. Nyie ndio mnaondoka kwenu Iringa mkirudi baada ya mwaka mnajifanya mmesahau Kihehe, thread ya Kiswahili unaleta viingereza vingi vya nini!?, nenda international forums huko. Au changia nyuzi za kiingereza tu.
 
Yeye ni mwanasheria...
Mwanasheria Lissu anakiri Mdee & co wamekata rufaa inayotakiwa kusikilizwa na baraza kuu, lakini mwanasheria huyohuyo anasema hawawezi kuitisha kikao cha baraza kuu kujadili rufaa ya hao anaowaita waasi!

Kuna kitu hakipo sawa kichwani kwake.
 
Hawa Chadema wanajua kuwafunga midomo wajinga vizuri sana, sijui walisomea wapi hizo kozi.
 
Mbowe na Mnyika hawana maamuzi wewe zezeta, mwenye maamuzi ya mwisho ni kikao cha Baraza Kuu la chama kitachokaa mwezi wa March au April, huko Lumumba kuna kiwanda cha ujinga?

Kama una ushahidi wa Chadema kupokea ruzuku utoe wacha kelele.
 
Mwanasheria Lisu anakiri Mdee &co wamekata rufaa inayotakiwa kusikilizwa na baraza kuu, lakini mwanasheria huyohuyo anasema hawawezi kuitisha kikao cha baraza kuu kujadili rufaa ya hao anaowaita waasi!

Kuna kitu hakipo sawa kichwani kwake.
Msome tena umwelewe, kasema kikao kitafanyika Machi au Aprili.
 
Uko very shallow kwenye deep information za kinachoendelea nchini. Tundu Lissu alikuwaga mtetezi wa wanyonge kipindi cha Mkapa tu.

..kwa hiyo aliyekuwa fisadi tangu kipindi cha Mkapa na baada ya hapo akatoa amri Tundu Lissu auwawe.
 
Mambo ya hela za umma huwa siyo siri; tusubiri ripoti ya CAG.
 
Msome tena umwelewe, kasema kikao kitafanyika machi au aprili.
Hiyo taarifa ya Lissu imekosewa?! Kaandika hawawezi kuitisha kikao kuwajadili hao waasi.

Kikao kikifanyika April itakuwa bado ndani ya muda kikatiba (katiba ya Chadema) kujadili rufaa ya hao waasi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…