Hatakama iwe hivyo unavyofikiri itakua,lakini kaa ukijua,maana JPM na wenzake wanajua,kua TAML anaweza kusimama peke yake,kutetea haki ikibidi.TAML ni mtu ambaye haangalii pesa wa cheo pale ambapo haki na wajibu vimekwepeshwa.Hadi TAML anafikwa na hali ile,usidhani kwamba hakuna jitihada za hali na mali zilizofanyika kum-weaken au kumlaghai aachane na mambo ya HAKI.
Iwe inavyokua,TAML anasema kile ambacho yeye kama makamu mwenyekiti anakijua na anachoelezwa aidha na Mbowe,Mnyika au watu wake wengine anaowaamini wanaweza kumpa taarifa sahihi.
All in all,vyovyote itakavyokua,TAML na baadhi ya wanachama wa CHADEMA hawakubali na hawatakubaliana na hao wanawake kwa kile kilichofanyika,yaani UASI.