Tundu Lissu: CHADEMA haina mamlaka kisheria kufungua kesi ICC kuhusiana na Uchaguzi 2020

Nyumbu ni CCM hata mbugani nyumbu ni wengi kama CCM walivyokuwa wengi nyuma ya keyboard hata wewe umekaa kusifu manyanyaso ya CCM kwa wapinzani siyo kwamba wewe ni mwadilifu bali ni mnufaika wa matesa ya CCM kwa wapinzani
Kumbe Chadema wachache,. Sasa mliibiwaje kura wakati ni wachache? Sasa mwambieni beberu wenu kuwa Lissu anamdanganya Hana wanachama wa kutosha kushinda urais ili waache kuhangaika.
 

..Lissu yuko nje kwa kukimbia wauwaji ambao ni Watanzania wenzetu wanaotumia mamlaka yao vibaya.
 
Kuna yule bwana mng'oa majicho keshachukua compendium inayohusiana na kuundwa kwa 1999 Rome Statute of International Criminal Cort kwa ajili ya power point presentation kwa mhemiwa mungu.
 
USA, walitupilia mbali kesi ambazo ICC walitaka kuwashitaki wanajeshi wake waliokuwa Iraq kwa makosa ya haki za binadamu, USA ikawapa onyo hao ICC atakayetoa mdomo wake hakanyagi marekani, mpaka leo hizo kesi zimetupiliwa mbali, ICC imebaki kwa viongozi wa afrika tu or nchi za dunia ya tatu. Or shit hole countries.
 
Naona ndio mnampa pole leo kiaina kwasababu ya zile risasi.

Kusema Lissu anaishi maisha ya shida lazima muonekane vichaa kwenye hii jamii yetu iliyostaarabika, mtu msomi wa aina yake hizo shida azipate wapi?!
Hata Lema ni msomi anaishi kwa raha Canada! Sorry for this rubbish.
 
Kuna siku isiyo na jina sote tutaongea lugha moja. Muda ni mwalimu mzuri waache waendelee kujitoa ufahamu.
 
Anazungungumza tunayojua siku zote; tuliwaambia zamani sana kuwa hivi vitisho vya kuishitaki serikali huko ICC havina maana yoyote kwa kuwa ICC siyo mahakama ya hakimu mkazi ambako mtu yeyote anaweza kupeleka kesi yoyote hata akishindwa uchaguzi! Amsterdam alijidai kutishia kuwa ameshafungua kesi ICC jambo ambalo lilikuwa ni uwongo mzima; Maria naye akajidai ameshatuma ushahidi wake huko ICC jambo ambalo pia lilikuwa halina uzito wowote kabisa kwani ICC haikusanyi ushahdi wa kesi zake namna hiyo!
 
Naona ndio mnampa pole leo kiaina kwasababu ya zile risasi.

Kusema Lissu anaishi maisha ya shida lazima muonekane vichaa kwenye hii jamii yetu iliyostaarabika, mtu msomi wa aina yake hizo shida azipate wapi?!
Na wao hizo "shida" wamezijua vipi?
 

..Tundu Lissu ametoa ufafanuzi mzuri kwa namna ambayo ni rahisi kueleweka hata kwa mtu ambaye siyo msomi.

..kwa upande mwingine, tuna tatizo la kisiasa nchini ambalo tumeshindwa kushughulika nalo sisi wenyewe ndani ya nchi.

..tungekuwa tunaendesha siasa zetu kwa HAKI na USTAARABU kusingekuwa na Watanzania wanaozungumzia habari ya ICC.
 
Ufafanuzi aliotoa ni sawa, lakini kwa nini aliruhusu mwanasheria wake kuwa anatoa vitishoa kila siku kuwa ameshafungua kesi dhidi ya serikali ya Tanzania huko ICC ilihali ukweli ni kuwa ICC siyo mahakama ya hakimu mkazi kama alivyofafanua Lissu?

Hapo ndipo ujue kuna ubabaishaji tu.
 
Kwa hiyo, hitimisho hapa ni kwamba huko ICC hakuna habari yoyote inayoihusu Tanzania; hata ile isiyokidhi mahitaji ya mahakama hiyo kwa sasa?
Je, na kama kuna taarifa iliyofika huko, lakini ikawa haikidhi mahitaji ya mahakama kuanzisha kesi kwa sasa, kuna uhakika kwamba taarifa hiyo haiwezi kuwa sehemu ya taarifa nyingine zikiwasilishwa huko pakiwa na ushahidi wa matukio mengine?
 

..alichofanya mwanasheria wake ni hicho alichokielezea Tundu Lissu.

..those who thought otherwise ni wale ambao walihitaji ufafanuzi kama huu alioutoa Tundu Lissu.

..mimi nadhani tatizo siyo ubabaishaji, bali ukatili na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu unafanywa na vyombo vya serikali.

..siasa zetu zingekuwa zinaendeshwa kwa misingi ya HAKI tusingekuwa tunazungumzia mambo ya ICC.
 
ICC in habari zinazohusu dunia nzima.
ICC haifanyi kazi kwa kutumia ushahidi wa kuokoteza na kuungaunga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…