Tundu Lissu: CHADEMA haitakwama kwa kukosa pesa za Mbowe

Mangi umenuna.
Mambo hayaendi hivi
 
Naona mpaka sasa hamuamini CHADEMA kuongozwa na wakuja! Mshafanya chama cha ukoo bin kabla ehhh... Wacha sindano iwaingie... 😁 😁
Jipeni moyo mtazoea tu 😁 🙏
 
Atashangaa watu watakavyokuwa na muamko wa kuchanga kwani wana uhakika pesa zao kutumika vizuri.

Mbowe alikuwa anajipendelea anakusanya mapato anapanda chopa wenzage wakila vumbi barabarani
 
So unataka chama akishikilie Mbowe? Je akifa ghafla? Ndo wanachama waanze kujifunza hakuna kumtegemea mtu. Kumtegemea mtu mmoja ni kutaka kuolewa na huyo mtu. Hao asilimia ngapi hawataki wasichange. Ni ujinga kutehemea kusaidiwa miaka yote. Mnaweza olewa wote na pia mnampa nafasi ya kuchukua rushwa na kutakatisha kwa kujifanya anafadhili.
 
Ukweli mchungu ni Kwamba CHADEMA ilikua bado sana kuishi bila Mbowe…. Muda ni msemo Kweli tutajionea…. Nyie wanaharakati uchwara na wapumbavu ndo mtaiua CDM
 
Atashangaa watu watakavyokuwa na muamko wa kuchanga kwani wana uhakika pesa zao kutumika vizuri.

Mbowe alikuwa anajipendelea anakusanya mapato anapanda chopa wenzage wakila vumbi barabarani
Watanzania Si wajinga.

Kiongozi Leo aseme hatambui matokeo,

Kesho huyo huyo anayatambua Kisha anapokea ruzuku,

Kesho anakuja kuchangisha tena,🤔
 
hao watanzagiza huwa mnawalaumu bure tu, hivi per capital income ya mtanzagiza ni kiasi gani? ni watanzagiza wangapi baada ya kulipia mahitaji yote ya lazima atabakiza fedha ya kulipia chama cha siasa? wakati mwingine nafikiri mko sooo out of touch, kama anataka fedha kuna matajiri nje na ndani ya nchi akafanye lobying wachangie lkn kulaumu watanzagiza “wagumu kuchanga” siyo fair na hata ni dhambi kwa Mungu …
 
CHADEMA wamezoea kujitegemea, (kujitolea)
 
Yuko sawa! Bado Chama kinapokea Ruzuku kila mwezi kwa sababu ya Wale covid 19 na yule Mama wa Rukwa!
Chadema haitakufa bali itaishi!
Chama ni watu, na tumeshuhudia hamasa kubwa ya watu juu ya chadema.
Uongozi mpya ukienda na hii trend mapema otaimarisha chama sana
 
1. Hakuna wa kuchanga , linapokuja suala la kuchanga watanzania ni wagumu/watu ni wagumu generally. Utaitisha michango kila siku, watakuchoka! WATACHANGA ZA KUNUUA LUKU SIYO CHOPA YA KAMPENII!, MISHAHARA and the big like!
Acha uongo, hizo ofisi za wilaya, majimbo na kanda zimejengwa na makao makuu? Miaka yote huko chini wanajiendesha kwa michango hata ruzuku hawaijui ni nini.

Yaani nyie team mbowe hamjitambui kabisa, malipo ya kadi tu yanatosha kama mfumo utawekwa vizuri. Ukiwa na database ya 1m members and fans wakalipa tu hiyo 2000 kwa mwaka ni zaidi ya 2 Billion nje ya ruzuku.
 
Kama mashabiki wa Team ya Simba walichanga zaidi ya milioni 68 ndani ya siku zisizozidi 5 itakuwa kwa wanachama Nchi nzima, muhimu ielezwe matumizi yake na kuwe na uwazi kwa viongozi juu ya kiasi kilichochngwa na matumizi yake
Usilinganishe ushabiki wa mpira na siasa

Nchi hii watu wako tayari kuchangia timu yao au hata kuifata inakocheza kwa gharama zao lakini sio siasa
 
Watu wafupi huwa na akili fupi sana.
Watu wafupi wengi ni wajinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…