Tundu Lissu: CHADEMA haitakwama kwa kukosa pesa za Mbowe

Usijali maadam ni mkatoliki tutampa support ya kutosha.
 
Reactions: rr4
Lissu aache kutaka kuwaumiza watanzania na michango ya kipumbavu.
Hujalazimishwa , na CCM muache kuchota Kodi zetu hazina na kuzitumia kwenye mambo yenu ya kisiasa, mwisho wenu unakaribia maana mlijisahau kwa muda mrefu
 
Acha ujinga sample ya Ntobi au Yeriko?

Bure kabisa 😂
 
. Kama ulikuwa unatoa 5m kwa chama hata sasa endelea kutoa maana chama kipo. V
Una kichaa wewe, unataka nichange hela Za unga??? Siwezi toa hata Mia yangu kwa mtu mshenzi na mhuni kama Lissu….. na hatutakubali chama kife na akishindwa tutamnyonya lile tumbo linalomfanya akose akili.
 
Ruzuku inatokana na idadi ya kura za Urais,

Ambapo chama kilidai kuibiwa kura,

Hivyo kupokea ruzuku ni kukubali kura na kukubali kushindwa uchaguzi, ni kubariki matokeo ya wizi wa kura.
Kwani ccm wameanza kuiba 2020 mbona tokea 1995 wanaiba

Chadema walikuwa sahihi kuigomea mwanzoni sababu wangeikubali haraka-haraka ingeleta picha mbaya kwa wanachama wao

Ukweli ni kwamba hakuna uchaguzi ambao ccm hawajaiba kura
 
Una kichaa wewe, unataka nichange hela Za unga??? Siwezi toa hata Mia yangu kwa mtu mshenzi na mhuni kama Lissu….. na hatutakubali chama kife na akishindwa tutamnyonya lile tumbo linalomfanya akose akili.
Wewe usichangie sababu hukuna sehemu umelazimishwa
 
Kwani ccm wameanza kuiba 2020 mbona tokea 1995 wanaiba

Chadema walikuwa sahihi kuigomea mwanzoni sababu wangeikubali haraka-haraka ingeleta picha mbaya kwa wanachama wao

Ukweli ni kwamba hakuna uchaguzi ambao ccm hawajaiba kura
Sasa hiyo Hali ya unafiki Lissu haitaki na amekuja kuukomesha,

Tunataka Sanduku la kura liheshimiwe.
 
Sasa hiyo Hali ya unafiki Lissu haitaki na amekuja kuukomesha,

Tunataka Sanduku la kura liheshimiwe.
Watu wanaiba wazi wazi alafu unasema sanduku la kura liheshimiwe kwa tume hii ya mchongo ya uchaguzi ambayo inapika matokeo
 
Watu wanaiba wazi wazi alafu unasema sanduku la kura liheshimiwe kwa tume hii ya mchongo ya uchaguzi ambayo inapika matokeo
Ndio maana ya No Reform, no Election.

Ni kulazimisha mabadiliko ya Sheria za uchaguzi kupata Uchaguzi huru na WA HAKI.

Kulalamikia kuibiwa Kila siku ni Ujinga.
 
Una kichaa wewe, unataka nichange hela Za unga??? Siwezi toa hata Mia yangu kwa mtu mshenzi na mhuni kama Lissu….. na hatutakubali chama kife na akishindwa tutamnyonya lile tumbo linalomfanya akose akili.
Weka deposit ya hela ulizowahi kuchanga. Vinginevyo kaa kimya ukiwa unaendelea kuugulia maumivu.
 
Haya sasa chama mmepewa, tunataka kuona kinasonga mbele maana mlidhani Mbowe ndiye kikwazo. Sasa hizi kauli za bora kife zinadhihirisha chuki zenu kwa Mbowe, hasa wewe Tindo.
Kisonge mbele mara mbili? Ama nyie mmeshahama chama?
 
Lumpen ni labda ni wewe tu.
Chama kipitie orodha ya wanachama na kuwepo na program ya kusajili tena wanachama hasa wapya waliokuwa wamekatishwa tamaa na aina ya siasa za mbowe.
Tulipe ada na ningependekeza ada ipandishwe ili ikidhi mahitaji ya wakati.
Tupate wanachama mil 2.5 na kila mmoja alipe ada ya sh 5000 tu.
Inatosha kwa matumizi ya mwaka mzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…