Tundu Lissu: CHADEMA tumeanza kupokea Ruzuku

Tundu Lissu: CHADEMA tumeanza kupokea Ruzuku

mwisho ana hoji kwa kusema je ktk mazingira haya bado tunaweza kuendelea na msimamo ule ule wa wakatiule mambo hayajabadilika? Hapana. Tubaki na mambo makubwa zaidi haya madogo
chane nayo.
"Mambo makubwa" inayobaki nayo CHADEMA ni yapi ambayo yatakuwa ni tofauti na yale ya CCM ya Samia? Majimbo?

Kiufupi ni kwamba CHADEMA haina ajenda tena inayoisimamia ambayo ni tofauti na ajenda ya CCM chini ya Samia.

Kwa hiyo ni haki kusema kwamba CHADEMA itaungana au itamezwa na CCM ya Samia kwa sababu CHADEMA kama chama hawana ajenda tena.
 
Makamu Mwenyekiti Mh Tundu Lissu akiwa ktk mtandao wa Club house ameweka wazi kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimeanza kupokea Ruzuku Mwezi huuuliopit...
" wanachama wetu na wafuasi waliendelea kufanya kazi za chama bure kabisa bila malipo, na hii inaonesha kuwa Chama chetu ni chama cha watu."

[emoji1545]
 
Ndio maana tumeona uswahiba wa ghafla baina ya pande hizi mbili "CCM" na "CHADEMA"
Ndio maana tunaona nguvu mpya ya Mikutano na maandamano ya Bodaboda

Msemaji wa ACT ni kama amnazo kt siasa, unampongeza Samia kushiriki kongamano la Bawacha, maanake samia atashirikiana na wamama wa CDM kisha unailaumu CDM kuchukua ruzuku toka serikalini.

Nadhan ACT wangelaumu maridhiano ya CDM na CCM straightaway ambayo na wao wanayafaidi kwa sasa kuwa huru kufanya siasa nchini.

Tuachane na kauli zinazo jicontradict suala linalohusiana,
... Maridhiano .. safi
... Rais kushiriki kt kongamano la Bavicha .. Safi
... ACT kushiriki kt matunda ya maridhiano .. Safi
... Automatically matunda ya maridhiano .. Safi
... Chadema kuanza kuchukua ruzuku ..Chafu.
What a hell, akili kisoda ya ajabu hii from msemaji wa ACT
 
" wanachama wetu na wafuasi waliendelea kufanya kazi za chama bure kabisa bila malipo, na hii inaonesha kuwa Chama chetu ni chama cha watu."
[emoji1545]
Mbowe: Wanachama wenzangu wa CCM

Lema: Mama nina kesi
 
Ndio maana tumeona uswahiba wa ghafla baina ya pande hizi mbili "CCM" na "CHADEMA"
Ndio maana tunaona nguvu mpya ya Mikutano na maandamano ya Bodaboda!
Ndio Maana tunaona sasa mmepata nguvu ya kutangaza operesheni mpya kuzunguka nchi bila ukomo!
KUMBE!
Uongozi wa Chadema umekwisha pokea ruzuku ya zaidi ya shilingi milioni 898 kibindoni kimyakimya!
La kustaabisha ni pale ambapo majukwaani hamsemi haya mambo! Na badala yake
Mmepiga kimya,huku mkihadaa wananchi na wafuasi wenu kwamba hamuutambui uchaguzi mkuu wa mwaka -2020!

Wakati kiuhalisia mmekwisha utambua huo uchaguzi na ndio maana mnamtambua pia Rais wa "JMT" na kumuunga mkono.
Na ndio maana mmeipokea rasmi hiyo Ruzuku!
Tatizo mnaona aibu kuhusu kuwatambua wale wabunge 19 wa viti maalumu, ingawa tunatambua kwamba pumzi ya ufuatiliaji wa kesi ile imepungua na ni kama haipo kabisaa!
Sasa macho na miwani imeelekezwa kwenye hizi milioni 898 za Ruzuku.
View attachment 2538843
Ebu kama mnayo pumzi muwajibu ACT-Wazalendo kutokana na huo waraka wao!
Wale wazee wa Povu!
mlilete taratibu......
Mlete majibu yenu,na sio Matusi yenu!

Huo waraka ACT - Wazalendo wameshaukana!

IMG-20230305-WA0030.jpg
 
ACT kumbe ni wapumbavu sana
 
Ndio maana tumeona uswahiba wa ghafla baina ya pande hizi mbili "CCM" na "CHADEMA"
Ndio maana tunaona nguvu mpya ya Mikutano na maandamano ya Bodaboda...
A hopeless voicer, acha kukurupuka utakapogeuka nyuma utajikuta uko peke yako huko wale uliodhani umeongozana nao hawako na wewe.
 
Back
Top Bottom