Tundu Lissu: CHADEMA tumeanza kupokea Ruzuku

Tundu Lissu: CHADEMA tumeanza kupokea Ruzuku

Unapokea ruzuku kisha unakaa kimya mpaka wengine waseme kwa niaba yenu? Kwani hiyo taarifa kutolewa mpaka ruhusa itoke mbinguni?

Chadema wamelala.
 
Isingekuwa ACT kuliibua hili, wangeendelea kukaa kimya.

Wanapokataa jambo wanaita press, ni busara wanapobadili msimamo kuita press pia.

Wanapaswa watoke nje waseme wameridhiana hiki na kile.
 
Chadema kuchukua ruzuku kama matokeo ya maridhiano haliwezi kuwa kosa, hili tukubaliane, ile ruzuku ni haki yao sio hisani.

Kosa walilofanya ni kukaa kimya mpaka mshibdani wao akawa wa kwanza kutoa ile taarifa, hapa walilala, hawakutakiwa kusubiri chochote, walitakiwa kuitoa hiyo taarifa popote na wakati wowote.
 
Ndio maana tumeona uswahiba wa ghafla baina ya pande hizi mbili "CCM" na "CHADEMA"
Ndio maana tunaona nguvu mpya ya Mikutano na maandamano ya Bodaboda...
Kwa hiyo ACT imekuwa msemaji mkuu wa chadema? Hii nchi ngumu sana
 
Mimi siko humu kusaka legitimacy ya kufanya siasa!
Ni kwa akili mfu kama zako ndio unaendelea kuamini hicho una hokisema...
Langu lilikuwa ni kuhusu ACT W kuikanusha taarifa iliyopokelewa na nyie akina voicer bila kuwa na subira.
 
Ndio maana tumeona uswahiba wa ghafla baina ya pande hizi mbili "CCM" na "CHADEMA"
Ndio maana tunaona nguvu mpya ya Mikutano na maandamano ya Bodaboda...
MARIDHIANO yanawatoa POVU ZITO ACT
 
Bwana Abdul nondo, wewe na chama chako, mpinzani wenu ni nani? Mkiitwa CCM B Kwa namna hyo mnapakujitetea kweli?
 
Back
Top Bottom