Tundu Lissu: CHADEMA tumeanza kupokea Ruzuku

Tundu Lissu: CHADEMA tumeanza kupokea Ruzuku

Swali la msingi ni jee msimamo wao wa kutoshiriki uchaguzi wowote bila Katiba Mpya uko pale pale? Au maridhiano yanawafanya waamini kuwa haki itatendeka?

Amandla...
Kikosi kazi kilishauri katiba mpya iwe baada ya 2025 na Chadema huenda wameona hawawezi tena kushinikiza hilo.......ila huenda wenye nchi wakafanya marekebisho kadhaa tu kwenye sheria za uchaguzi ili kuipaka rangi hiyo NEC.
 
Kwani hujui Chadema wakati wakikataa kupokea ruzuku hapakuwepo na maridhiano? wanafiki mnaotaka maridhiano yaguse pote isipokuwa kwenye ruzuku.

Nyie kufanya yale mliyofanya Zanzibar, hakiwezi kuwa kipimo cha nini Chadema wafanye, hamja-set standard yoyote, kwanza hiyo quality hamna, wao watafanya yao, kwa wakati ambao watauona ni sahihi kwao.

Kwangu ni heri Chadema walioonesha kutokubaliana na yale matokeo, wakaukataa ule uchaguzi, kuliko nyie mliokimbilia kujiunga SUK huku mkijua fika, kuna wanachama wenu wengi walioumizwa kule Pemba kwa kufanyiwa matendo haramu, lakini hamkuwahi kuwasemea popote.

Baada ya CCM kuwazoea, sasa wameshawaona wakawaida, juzi mligoma kuteuliwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi kule Zanzibar, mkadai mnakuja bara kuwasemea kwa wananchi, ajabu, waumizwe wa visiwani, mkawaulize wa bara!, mpaka leo mpo kimya, hamkuwasemea au ilikuwaje? badala yake bado mpo tu SUK!

Nakwambia ukweli, nyie hamuwezi kujilinganisha na Chadema, badala ya kusema mna vision, na fikra yakinifu, fikra zipi yakinifu wakati mnakaa kimya hamtuambii matokeo ya kile mlichokipeleka kwa wananchi na nini mlijibiwa?

Listen, unatakiwa useme nyie ACT mna viherehere, viherehere hivyo ndivyo viliwapeleka kujiunga na SUK licha ya maumivu waliyopewa wanachama wenu Pemba, na mnaendeleza viherehere hivyo kwa kutoa taarifa rasmi isiyowahusu kwa niaba ya Chadema, mkijua fika mnatafuta political gain, wala hamkumbuki kama hayo ni matokeo ya maridhiano.

Mnafanya siasa za kishamba za kuviziana, claiming mna vision! taarifa ambayo Chadema walijipanga kuitoa kwa wakati wao, nyie mkaidandia haraka, nendeni field mkatafute kuungwa mkono na watanzania, hiki mnachokifanya sasa ni kama fisi anayemsindikiza mwanadamu akitegemea iko siku mkono wa mwanadamu utadondoka, mnajidanganya.
 
Msemaji wa ACT ni kama amnazo kt siasa, unampongeza Samia kushiriki kongamano la Bawacha, maanake samia atashirikiana na wamama wa CDM kisha unailaumu CDM kuchukua ruzuku toka serikalini...
Ukichukua akili zako kwa Mbowe utaelewa nini kamaanisha huyo msemaji wa ACT
 
fake news imewanasa wajingawajinga wa lumumba wale buku saba huku mamayenu akienda kukabidhiwa kadi ya chadema kule moshi na hamshtuki hahahaaaa kweli ccm inamabongolala ndio maana hata katibu mkuu wenu mmemtelekeza wakati anamikutano kila siku.
Unapata tabu sana kuitetea chadema
 
Back
Top Bottom