Tundu Lissu: CHADEMA tumeanza kupokea Ruzuku

mwisho ana hoji kwa kusema je ktk mazingira haya bado tunaweza kuendelea na msimamo ule ule wa wakatiule mambo hayajabadilika? Hapana. Tubaki na mambo makubwa zaidi haya madogo
chane nayo.
"Mambo makubwa" inayobaki nayo CHADEMA ni yapi ambayo yatakuwa ni tofauti na yale ya CCM ya Samia? Majimbo?

Kiufupi ni kwamba CHADEMA haina ajenda tena inayoisimamia ambayo ni tofauti na ajenda ya CCM chini ya Samia.

Kwa hiyo ni haki kusema kwamba CHADEMA itaungana au itamezwa na CCM ya Samia kwa sababu CHADEMA kama chama hawana ajenda tena.
 
Wanapenda hela hawa watu🤣 so uchaguzi wa 2020 wanautambua au?
 
Makamu Mwenyekiti Mh Tundu Lissu akiwa ktk mtandao wa Club house ameweka wazi kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimeanza kupokea Ruzuku Mwezi huuuliopit...
" wanachama wetu na wafuasi waliendelea kufanya kazi za chama bure kabisa bila malipo, na hii inaonesha kuwa Chama chetu ni chama cha watu."

[emoji1545]
 
Ndio maana tumeona uswahiba wa ghafla baina ya pande hizi mbili "CCM" na "CHADEMA"
Ndio maana tunaona nguvu mpya ya Mikutano na maandamano ya Bodaboda
Msemaji wa ACT ni kama amnazo kt siasa, unampongeza Samia kushiriki kongamano la Bawacha, maanake samia atashirikiana na wamama wa CDM kisha unailaumu CDM kuchukua ruzuku toka serikalini.

Nadhan ACT wangelaumu maridhiano ya CDM na CCM straightaway ambayo na wao wanayafaidi kwa sasa kuwa huru kufanya siasa nchini.

Tuachane na kauli zinazo jicontradict suala linalohusiana,
... Maridhiano .. safi
... Rais kushiriki kt kongamano la Bavicha .. Safi
... ACT kushiriki kt matunda ya maridhiano .. Safi
... Automatically matunda ya maridhiano .. Safi
... Chadema kuanza kuchukua ruzuku ..Chafu.
What a hell, akili kisoda ya ajabu hii from msemaji wa ACT
 
" wanachama wetu na wafuasi waliendelea kufanya kazi za chama bure kabisa bila malipo, na hii inaonesha kuwa Chama chetu ni chama cha watu."
[emoji1545]
Mbowe: Wanachama wenzangu wa CCM

Lema: Mama nina kesi
 

Huo waraka ACT - Wazalendo wameshaukana!

 
ACT kumbe ni wapumbavu sana
 
Ndio maana tumeona uswahiba wa ghafla baina ya pande hizi mbili "CCM" na "CHADEMA"
Ndio maana tunaona nguvu mpya ya Mikutano na maandamano ya Bodaboda...
A hopeless voicer, acha kukurupuka utakapogeuka nyuma utajikuta uko peke yako huko wale uliodhani umeongozana nao hawako na wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…