Maelekezo ya donors kwamba CDM kama chama kikuu cha upinzani nchini kiwezeshwe nchini vinginevyo mtaendelea kukopa Uchina kupitia Exim kama alivyokuwa anafanya mwendazake. EU alikuwa hasubutu kukanyagi.Wenzako wanapokea ruzuku za akina Halima Mdee π
[emoji23][emoji23][emoji23]Si nilikuwa nakwambia hapa kila siku ukawa unakomaza shingo?
Kiko wapi sasa?
Utakuta sasa kuna mipumbavu inasubiri kina Halima watimuliwe bungeni
Unauliza jibu!So uchaguzi wa 2020 ni halali ama sio halali? Ruzuku inatokana na kina Mdee? So ni wabunge halali?
Chadema njaa imezidi. Sasa walijidai nini kukataa.Makamu Mwenyekiti Mh Tundu Lissu akiwa ktk mtandao wa Club house ameweka wazi kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimeanza kupokea Ruzuku Mwezi huu uliopita.
Makamu huyo nguli wa sheria na siasa bora Tanzania ametumia nafasi hiyo kuwapongeza watanzania waliokiunga mkono chama hicho kikiwa katika hali ngumu ya kifedha.
"Wanachama wetu na wafuasi waliendelea kufanya kazi za chama bure kabisa bila malipo, na hii inaonesha kuwa Chama chetu ni chama cha watu."
===
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeanza kupokea ruzuku waliogoma kuichukua baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020.
Uthibitisho huo umetolewa na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu leo Jumapili, Machi 05, 2023 wakati akijibu maswali kwenye hadhara iliyofanyika kwenye mtandao wa Clubhouse.
βChama (Chadema) kimeanza kupokea ruzuku mwezi huu (Machi) ambayo hatukuichukua tangu ulipofanyika uchaguzi mkuu wa 2020
βTumepokea sehemu tu ya pesa hizo na kiasi kilichosalia tutapewa siku za usoni. Tumeamua kuichukua kwasababu ya ahadi ya maridhiano yanayoendelea,β alisema Lissu
Hata hivyo mwanasiasa huyo alisema hivi karibuni Katibu Mkuu wa chama hicho, John Mnyika au Mwenyekiti, Freeman Mbowe atatoa taarifa rasmi.
Chadema iligoma kuchukua ruzuku hiyo inayokadiriwa kuwa ni zaidi ya sh. Milioni 110 baada ya kukataa matokeo ya uchaguzi waliyodai haukuwa uchaguzi bali ulikuwa ni uchafuzi.
Kwenye kauli za chama hicho walisikika wakisema kuwa wanaukataa uchaguzi na mazao yake.
Ikumbukwe chama hicho pia kilikataa kupeleka wabunge wa viti maalum bungeni kwa sababu ya kutoutambua uchaguzi huo.
Hii ni hatua nyingine ya matunda ya maridhiano yanayoendelea baina ya chama hicho na Serikali.
Kwa hiyo utafutwa au?Bado ni haramu ndio maana kuna maridhiano
kadhibitisha kupitia wewe huko club house hahaaaaa uvccm bongolala kabisa 2025 si mtataga kama mapema hivi mmechanganyikiwa.
Hawa jamaa ni wazee wa kuhalarisha haramu kuwa halali,Sasa jomba we unazungumzia chama gani..kwa sababu Chadema Wana Mbunge mmoja tu..wale wengine Covid 19 wametemwa zamani ingawa ruzuku yao inaendelea kuchukuliwa... Hahahah..sijaelewa hapa wajameni
Ruzuku ni kutokana na kura za Urais.So uchaguzi wa 2020 ni halali ama sio halali? Ruzuku inatokana na kina Mdee? So ni wabunge halali?
Kathibitisha badala kadhibitisha, sasa umefurahi! Pesa zile serikali ilikuwa inataka wazichukue ili watimize lengo lao batili ila Chadema walizikataa, kama sasa wamezichukua hii inatokana na maridhiano na maridhiano si dhambi kwa waungwana na si utashi wa upande mmoja, baada ya maridhiano yaliyopita yamepita huwa hayarejewi."Lissu kadhibitisha club house Jana" voicer
Undone eventKwa hiyo utafutwa au?
Kupokea Ruzuku ni matokeo ya Maridhiano na sio matokea ya uchaguzi.Kwa hiyo kwa kukubali kupokea ruzuku wamehalalisha uchafuzi mkuu wa 2020 kuwa uchaguzi mkuu wa 2020?
Soma vizuri usijifanye huelewi.Kwa hiyo uchaguzi wa 2020 ulikuwa halali na wale wabunge wenye kesi nao ni halali.
Sometimes ukitaka kiwaelewa wapinzani inabidi ujitoe ufahamu.
Sukuma gang tena mtalala na viatuHawa jamaa ni wazee wa kuhalarisha haramu kuwa halali,
Uchaguzi haukuwa halali lakini kwa sasa wanautambua kuwa ni halali.
Usicheze na asali.
Mlidhani tutawaachia pesa??Mbowe mwenyewe akiona hizi coment zako atakucheka kwa dharau sana
Hapa vijana wa chadema tumesalitiwa sana,, kwanini wakubali kupokea ruzuku wakati hawatambui ubunge wa covid 19?.. π€Ule uchaguzi ni halali
Hata mm sielewi kabisaaaKwa hiyo Covid 19 ni rukra, au sielewi?
We chadema tangu lini? Ccm kupokea ruzuku mbona mnaumia sana?Hapa vijana wa chadema tumesalitiwa sana,, kwanini wakubali kupokea ruzuku wakati hawatambui ubunge wa covid 19?.. π€