Dogo una kichwa kigumu kuelewaChadomo wakigoma vyama vingine zinaibuka na kukubaliana na matakwa kisha ndio mwisho wake maana baada ya uchaguzi hakutakuwa na kiongozi hata mmoja wa kuchaguliwa wa chadema
USSR
Hizo D mbili ulizipataje?
Um umeambiwa No reform no election
