Pre GE2025 Tundu Lissu: CHADEMA tutazuia Uchaguzi wa mwaka 2025 kama hakutakuwa na mabadiliko kimfumo

Pre GE2025 Tundu Lissu: CHADEMA tutazuia Uchaguzi wa mwaka 2025 kama hakutakuwa na mabadiliko kimfumo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kama mlijua sio karanga,mbona mnaendelea kutangaza tender wakati mnategemea bond
Wewe ni mjinga sana na hutaki kujielimisha.

Bond ni njia mbadala ya serikali Kwa kushirikiana na CRDB kuwapa wakandarasi source Mpya ya Fedha za kufanya kazi bila kusubiria malipo ya Serikali,Haina uhusiano na Bajeti Wala tenda.
 
Mtawapa wakandaradi fedha,ambso hawajatenda kazi?
Serikali imefeli wapi,
 
Mtawapa wakandaradi fedha,ambso hawajatenda kazi?
Serikali imefeli wapi,
Nani awape? Si watakopa CRDB Kwa riba ndogo? Dhamana sio nyumba tena bali tenda.

Kiufupi hiyo ni option sio lazima na lengo ni kusaidia wakandarasi wadogo wasio na Nguvu kifedha
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu, amesema kuwa chama hicho hakitaruhusu kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 endapo hakutakuwa na mabadiliko ya matukio yatakayolenga kuhakikisha chaguzi huru na za haki nchini.
==

"Kuanzia 2015 hakuna ushindani, hawataki uchaguzi na ukweli wa Mungu ni kwamba sisi (CHADEMA) hatujashindwa uchaguzi na CCM tumeshindwa uchaguzi na Jeshi la Polisi, tumeshinda uchaguzi na Idara ya Usalama wa Taifa, tumeshindwa uchaguzi na mfumo mzima wa Tawala za Mikoa (TAMISEMI), Wakuu wa mikoa, Wakuu wa wilaya, Wakurugenzi na watumishi wao wote sio CCM"

"Sasa maana yake ni kwamba tatizo letu la msingi ni mfumo wa uchaguzi, huu unaofanya Polisi, Usalama wa Taifa, JWTZ, watumishi wa umma badala ya kusmamia uchaguzi na kutenda haki wanakuwa wao ndio wapambanaji wa uchaguzi huo, na vilevile wanaamua nani anashinda, na tukisema tunaenda hivihivi itatokea tena mwaka ujao (2025), na itatokea tena kwenye uchaguzi wowote utakaofanyika"

"Ni tatizo la mfumo, na jibu la tatizo la mfumo ni 'No Reforms, No Election' (bila mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi, hakuna uchaguzi), sio kususia ni kuzuia uchaguzi hiyo ndiyo njia"
 
Attachments

  • IMG-20250118-WA0023.jpg
    IMG-20250118-WA0023.jpg
    31.8 KB · Views: 3
1. Kama alivyobainisha Makamu vibaka hawawezi kutuamrisha sisi chama kikubwa na kikongwe barani.

2. Wizi wa kura vipi wakati mnakua na mawakala kila kituo au njaa ndio inawaponza?

3. Wenzetu huko Buhigwe ARV mmepata? au?
 
Kwamba mnatuona sisi ni makhanithi sana?
 
Back
Top Bottom