Pre GE2025 Tundu Lissu: CHADEMA tutazuia Uchaguzi wa mwaka 2025 kama hakutakuwa na mabadiliko kimfumo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Chadomo wakigoma vyama vingine zinaibuka na kukubaliana na matakwa kisha ndio mwisho wake maana baada ya uchaguzi hakutakuwa na kiongozi hata mmoja wa kuchaguliwa wa chadema

USSR
Dogo una kichwa kigumu kuelewa
Hizo D mbili ulizipataje?

Um umeambiwa No reform no election
 
Dogo kaulimbiu ya watz wote ni no reform no election
Huo uchaguzi utafanya na nani
Labda mtaenda we na mama na Abdul kufanya uchaguzi Oman na Dubai
 
Chadomo wakigoma vyama vingine zinaibuka na kukubaliana na matakwa kisha ndio mwisho wake maana baada ya uchaguzi hakutakuwa na kiongozi hata mmoja wa kuchaguliwa wa chadema

USSR
Wewe huelewi chochote. Hapajasemwa chochote hapo kuhusu "Kususia uchafuzi"!
 
Huu ndo UKWELI
 
Lisu atakuwa Rais wa mitandaoni na mioyoni mwenu kama Lowasa na Maalim Seif.

Utake au usitake Rais ni Sa100 Hadi 2030.

Mwisho Chadomo mkigoma wenzenu wafakula na uone kama maisha yatasimama πŸ˜„πŸ˜„
Unastahili kupewa pole, kama uwezo wako wa uelewa unaishia hapa!
 
Dogo kaulimbiu ya watz wote ni no reform no election
Huo uchaguzi utafanya na nani
Labda mtaenda we na mama na Abdul kufanya uchaguzi Oman na Dubai
mlevi huyo huyo sia aliwambia mkaandamane samia must go na waote mkamsaliti na kula kona?
 
No reform no election. Yes. It is a good proclamation. But how will it be made feasible?
Kuna yanayo shindikana kwa binaadam; kama kuzuia kifo, n.k.; lakini kuzuia uchaguzi usifanyike siyo jambo gumu sana.
 
Lisu atakuwa Rais wa mitandaoni na mioyoni mwenu kama Lowasa na Maalim Seif.

Utake au usitake Rais ni Sa100 Hadi 2030.

Mwisho Chadomo mkigoma wenzenu wafakula na uone kama maisha yatasimama πŸ˜„πŸ˜„
Yule bibi ,ameshindwa na hali halisi inaoyesha.
Wewe ni Dr wa miundombinu! Miradi yote ya ujenzi wa barabara imekwama,ni viraka nchi nzima,!
Rais kutokea kundi la watu 1.5 m kutawala kundi la upande WA pili lenye watu 60+ million,ni hatari kubwa.
 
Sasa wakuzuia uchaguzi rais aliyekuwepo madarakani si ndio atafurahi atakaa madarakani kipindi kirefu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…