Tundu Lissu: Filamu ya Royal Tour ni biashara kubwa Amazon. Je, nani mwenye hakimiliki? Mgawo wetu ni kiasi gani?

Mimi nimejibu kuhusu filamu sio hayo yako mengine na niliyemsikia ni Msigwa sio huyo mwingine.
 
Tatizo la watanzania ni kukurupuka kwa mihemko
Serikali ilishatoa tamko haikugharamia hata Mia kwenye kazi hiyo
Halafu ieleweke lengo letu sio kutengeneza filamu za biashara, Mama samia sio bongo movie
Lengo ni kuitangaza nchi kiutalii, hivyo hata muandaaji akiamua kuigawa bure hiyo ndio faida zaidi kwetu
 
Mkuu, nyie Chadema si ndio mnataka uhuru wa maoni? Ila sikulaumu, umechelewa kuolewa, ndio sababu
Tatizo lako ni akili tu. Ungekuwa na akili usinge onngea utumbo mbele ya wanaume.
 
Serikali haijagharamia filamu hii. Na hili lilishafafanuliwa
 
Tatizo kubwa la huyu Lissu Tundu ni kwamba hajui huwa anapigania nini kwa ajili ya nini na nani .....
 
Wewe ukimdharau anapata hasara gani?
 
Watu wanajadili maslahi ya Taifa wewe unaingiza mada ya kijinga, ni lini mtaelimika?
 
Na ww unaamini hahahaha
Mbona mlikuwa mnamwamini yule kenge wakati ule alipokuwa akidanganya kwamba miradi yote ilikuwa ikitekelezwa kwa fedha za ndani kumbe nyuma ya pazia alikuwa kwapukwapu na mikopo juu.
 
Muhimu tuambiwe hiyo pesa ilipotoka, ili kama ni mkopo tujue kama hayo mapato ya hiyo movie ndio yatatumika kulipa huo mkopo.

Serikali lazima iwe wazi kwa wananchi wake, isiwe na mambo ya siri hii itasababisha watu kuanza kuitilia shaka.
Ni wakati gani Magufuli aliwahi kusema amekopa na bado mlikuwa mlikuwa mkipigia makofi, mwacheni mama afanye kazi.
 

Hizi ni siri za nchi. Mnataka zivuje hovyo mtandaoni ili tuwape faida wa Kenya?
 
mmeambiwa Watanzania hakuna shilingi yetu iliyotumika ni mabeberu ndio wamedhamini pambano,, malipo yao ndio hayo sasa wanajilipa.

Watanzania tunapata malipo yetu kwa watalii kuja kwa wingi kupitia hiyo filamu...watalii wakija wataleta madolali..
 
Kwani zile documentaries za wanyama zinazochukuliwa kwenye mbuga zetu na kurushwa kwenye chaneli kama NAT GEO, NAT GEO WILD na nyinginezo huwa tunapata mgao wowote...........yaani wadanganyika tushakuwa shamba la bibi la mabeberu tukubali tu....
 
Rais wetu mumemfanya jotty?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…