Haihitaji hata cheti cha std7 kujua kuwa kwanini uchaguzi huu uligubikwa na maandamano labda uamue kujizima dataMaandamano kaanzisha yeye? Seriously
Mtu yupo mahabusu for how long?
Mkishindwa hoja mnakimbilia matusi na kejeli ndio zenu tunawajua wafuasi wa TEC na chadema
Wapi nimesema watu kuuawa ndio hoja? OnyeshaYaani Watu kuawa ni hoja. ...!!? Watu wengine akili yenu mnaijua wenyewe.
Atarudi mikono mitupu tu. Maana haijulikani anakuja kuwapatanisha akina nani! zaidi tu ya kuja kukutana na baadhi ya viongozi wa serikali, vyama vya siasa, viongozi wa NGO's na viongozi wa dini.Jumuiya ya madola imetuma mjumbe wake kupatanisha, je atarudi na majibu gani?
Wapi nimesema watu kuuawa ndio hoja? Onyesha
Wakatoliki wana matatizo mengi makanisani mwao zaidi ya siasa wajihusishe na hayo kwanza siasa wawaachie wanasiasa na vyama vya siasa kama wanataka kujihusisha na siasa taasisi zao wazisajili kuwa vyama vya siasa the same applies to BAKWATA
Sasa ccm walishindwa kuwashawishi watu wasiandamane wakapige kuraHaihitaji hata cheti cha std7 kujua kuwa kwanini uchaguzi huu uligubikwa na maandamano labda uamue kujizima data
Ila kila mtu anajua kuwa NrNe ndio chanzo cha maandamano wakati wa uchaguzi
Umedandia hoja ndio maana unajibu kwa uelewa hasi fuatilia maongezi yangu na huyo mdau vizuri halafu uniambie wapi nimetetea wauaji au nipo upande waoKwani mpaka useme. We can read through and between the lines. Upande unaoutetea hauna hoja zaidi ya hiyo.
Unaonekana huelewi kiingereza ndio maana niliposema "the same applies to BAKWATA hujaelewa
Hoja yangu sio ccm, hoja yangu ni lissu alipombagaza mbowe kuwapeleka watu kikaangoni kwa kushiriki uchaguzi badala yake yeye kawapeleka machinjioni kwa kuhubiri kukinukisha kwa mgongo wa nrneSasa ccm walishindwa kuwashawishi watu wasiandamane wakapige kura
Maanake wamezidiwa ushawishi
Lisu alikuwepo kwenye maandamano?Hoja yangu sio ccm, hoja yangu ni lissu alipombagaza mbowe kuwapeleka watu kikaangoni kwa kushiriki uchaguzi badala yake yeye kawapeleka machinjioni kwa kuhubiri kukinukisha kwa mgongo wa nrne
Unawezaje kulinganisha Tec na BwakwataUnaonekana huelewi kiingereza ndio maana niliposema "the same applies to BAKWATA hujaelewa
Nchi ngum hiiKamshutumu mbowe kuwaingiza watu kikaangoni kila uchaguzi wakiuawa kisa kushiriki uchaguzi badala yake yeye ndio kawakaanga zaidi kwa kuwaingiza wafuasi wa chadema kwenye maandamano huku wakifa kama kuku na bado watu wanagawana vyeo
Kwani mbowe alimpiga mtu lisasi wakati wa kutetea ushindi wakati wa chaguzi za 2015, 2020?Lisu alikuwepo kwenye maandamano?
Usiwe mjinga
TEC ni chama cha siasa?Unawezaje kulinganisha Tec na Bwakwata
Au unawezaje kulinganishaje Bwakwata na shura ya Maimamu
Unalingaje watu wanaotumiwa na wanaosimammia haki
Tumia akili
Mbowe alikuwa shujaa mpaka alipokubali kulegezwa na mama Abdul IkuluKwani mbowe alimpiga mtu lisasi wakati wa kutetea ushindi wakati wa chaguzi za 2015, 2020?
Hutaki kuelewa hoja wajizima data
Kati ya lissu na mbowe nani kawapeleka wafuasi wa chadema machinjioniMbowe alikuwa shujaa mpaka alipokubali kulegezwa na mama Abdul Ikulu
Mbowe aliyetoka Ikulu ni tofauti sana na aliyeingia gerezani
Na imedhirika wazi baada ya kukosa uenyekiti
Hata kama sio mwanasiasa Tena mpaka Leo hajaweza kukemea kilichotendeka hata kiutu TU au kiubinadamu
Kila taasisi Ina matatizo yake na hayaishi Leo Wala keshoTEC ni chama cha siasa?
Bakwata ni chama cha siasa?
Shura ya maimamu ni chama cha siasa?
Je kwenye taasisi zao hawana matatizo zaidi ya kufanya siasa?
πππππππππππWakatoliki wana matatizo mengi makanisani mwao zaidi ya siasa wajihusishe na hayo kwanza siasa wawaachie wanasiasa na vyama vya siasa kama wanataka kujihusisha na siasa taasisi zao wazisajili kuwa vyama vya siasa the same applies to BAKWATA
NRNE ililenga kabla ya uchaguzi, sio wakati wa uchaguziHaihitaji hata cheti cha std7 kujua kuwa kwanini uchaguzi huu uligubikwa na maandamano labda uamue kujizima data
Ila kila mtu anajua kuwa NrNe ndio chanzo cha maandamano wakati wa uchaguzi