Tundu Lissu, hana mapenzi mema na Watanzania

Mkuki kwa nguruwe kumchoma ili age ni sawa,lakini mkuki huohuo ukigeuziwa wewe ukuuwe utasema hapana tutaelewana tu.
 
Tena waliotaka kumtanguliza atashuhudia waliotangulia wao,kama Lowasa alivyoshuhudia waliomtangulia.
 
UPUMBAVU MTUPU!
 
Hakika wote walioshiriki kupanga kuhujumu kufanikisha shambulio la Lisu wataondoka wao kabla yake Ili unabii utimie auwae kwa upanga atakufa kwa upanga.Mungu wetu asinzii wala alali.
 
MKUKI KWA NGURUWE KWA BINADAMU MCHUNGU
HIZI CHUKI ZILIANZIA WAPI??
WAKATI WATU WANAZUIWA HATA KUWAOMBEA WAGONJWA ?
WAKATI WATU WANAZUIWA KUCHAGUA VIONGOZI WAO MITAANI
WAKATI WATU WANAZUIWA KUTANGAZIWA HATA WABUNGE WAO WALIOSHINDA
WAKATI VIONGOZI WANANUNULIWA KAMA NJUGU ...WALIOKUFA KUTETEA WACHAGULIWE ROHO ZAO ZILIJISIKIAJE
WAKATI HATA VIONGOZI WA DINI WANATUKANWA KWA KUSEMA WATU WAVAE BARAKOA ?
 

Ile plan ilisukwa na faru john hakuna asiejua
 

msaada upi? kuweka sanctions kwa tanzania au unamaanisha kutaifisha madini?
 
Utakuwaje na mapenzi na hili liserikali la ccm
 
Watanganyika hadi mbebwe mgongoni ndo mjue JP anawapambania
Anapambania ndugu zake .....kwani hizo barabara hazikuwako ....UTU NI JAMBO LA MUHIMU SANA ..TUMUOMBEE MUNGU APONE AWEZE KUJIREKEBISHA
mana utawala huu kuna watu binafsi ,makabila ,hadi kanda zimenyanyasika sana , watu hata kuomba kazi wanaogopa kuandika wanatokea wapi , na wanaotoboa hizo siri ni hao hao anaodhani ni kabila lake , hii nchi tumeoleana saana , unakuta mtu anamuonea "shemeji" yake huruma anamuambia kabisa "utawala huu wala usihangaike kuomba hiyo kazi hutapata ,kwani hujui huyu hawataki ..."
mfano kuna kamishna mmoja wa Mamlaka moja alipewa kazi ya kuondoa watu wa eneo na dini fulani kwenye nafasi muhimu ..wakati yeye ameoa huko na marafiki anaoshinda nao siku zote ni wa dini fulani ....alijikuta siku kwa bahati mbaya karopoka .....na kuonyesha masikitiko yake ..kuna mambo mengi ya kibaguzi yataibuka ..

Haiwezekani unabuni mradi mkubwa ambalo ni jambo jema na kuanzia Mkurugenzi [kabila lako mmeoa pamoja ], mameneja hadi wakuu wa vitengo wote ni watu wa sehemu moja ....huo utaifa uko wapi??? hii ni kutowatakia mema hata unaowapa hizo nafasi kwenye ustawi wao mbeleni
 
Huyo jiwe wako ambae ubinadamu hana kammininia risasi kama yuko vitani,acha kua utopolo hata wewe nafsi yako haimpendi jiwe ni shida tu zimekufanya uandike uharo
 
Isitoshe kusema tu kuwa wewe ni MJINGA
 
Hivi usalama.wa taifa wameshindwa kwenda kumuulia hukohuko uswizi
 
Wanataka kulazimisha huzuni yao iwe yetu.Kila mtu abakie na huzuni yake
 
Huwezi umiza watu unaowapenda kwa kuwasomesha namba ili wakuabudu
Tatizo hata watu baadhi wa karibu wameteseka ndio wakaanza kumuabudu ..na ndio wengi wanaotoa siri zake kwenye mitandao ......


Hii hali ilivyo anything comes kuna watu wata confess sana , kuna watu wameteswa , wametishwa na wengine wamebakwa na kutishiwa picha kusambazwa kaama hawatamuunga mkono ..

Ndio maana niwashauri hata wapinzania waje wakae waongee na watu wao waliolazimishwa kuunga mkono juhudi baada ya kupitia mateso na vitisho , ili ikibidi wayaamalize ...hata hawa "convid19" , ukiwaangalia kabisa wana siri kubwa moyoni na wanaumia sana kwenye hili lililowakuta , pengine wengi pale wako bila ridhaa yao ....kimoyo moyo wanatamani ije siku wawe huru kusema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…