Tundu Lissu, hana mapenzi mema na Watanzania

Kwa maisha ambayo Meko amefanya tuishi baada ya kuharibu uchumi kweli tumekuwa vichaa. Lakini huna haki ya kuingilia furaha yetu, kufa kwake ni UHURU wa pili wa Tanzania. Yule ana roho ya Adolph Hitler. Tusipofurahi anapoteseka tutakuwa wanafiki
 
Mnazo CCTV footage au ulikuwa nae wakati anajishindilia risasi? kwa haya wala haishangazi kwa TL kuwachukia ninyi na genge lenu. Awapende kwa kipi? Hata hivyo ana uhuru wa kumpenda na kutompenda yeyote.
 
ni muhimu zile nyimbo za mchakachaka shulen zirudishwe tuazne kufundisha watoto.tuwaimbe wasaliti ,
 
Nyie mbwa mnaosifia kila ujinga inawezekana kabisa sio raia wa nchi hii....

Achana na akili kubwa na wazelendo km Tundu Lissu na mbowe huwezi kuwapata kirahisi....
 
Lazima ujiulize kwanza kwanini tumefikia hapa?!!lisu inawezekana ana mapungufu yake, lakini nijuavyo mimi rais ndio mlinzi wa nchi na raia wake wote, inapotokea raia akatendewa ndio sivyo, hasa kama kiongozi kama lisu kwa yaliyomkuta, lakini hakuwa na mtetezi??unategemea nini?!!kipindi cha jk, wale wafanya biashara wa madini walipouawa akaunda tume ya jaji KIPENKA, na ukweli ulijulikana!!lakini awamu hii kwanini , hayo mambo hayapo?!!licha ya kila siku matukio ya ajabu ajabu yanatokea?
Jingine unaposema kuwa anaungana na watu waliotutesa miaka na miaka, je ni miaka 60, toka wametuachia uhuru, lakini mateso tunayofanyiana sisi kwa sisi yanatofauti gani na wazungu?ni mbinu tu ndio zimeboreshwa lakini mateso yako pale pale!!kama leo serikali inaweza taifisha ng'ombe zako 500!!na huna pa kwenda?!!
 
Nyinyi ndo mnaosababisha tuzidi kumwombea mabaya zaidi,maana mnamtukuza sana huyo no.1 mwenye kichwa chenye konakona kama limao.
 
Tundu lisu ni mdogo sana kwenye siasa kubwa hiz ............mwaache apige kelele atachoka tu
 
Kwa maisha ambayo Meko amefanya tuishi baada ya kuharibu uchumi kweli tumekuwa vichaa. Lakini huna haki ya kuingilia furaha yetu, kufa kwake ni UHURU wa pili wa Tanzania. Yule ana roho ya Adolph Hitler. Tusipofurahi anapoteseka tutakuwa wanafiki
[emoji40][emoji102]. Umetema nyongo mkuu.
 
Umenigusa sana. Nakumbuka ng'ombe toka pori la biharamulo .
 
Chuki walianzisha waliompiga risasi
 
[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuki kwa pig kwa binadam mchungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah nchi yangu Tanzania ujinga umeshika hatamu,yawezekana alieanzisha mada ni msomi wa vyeti na amefaulu vizuri tuu.Sisi kama taifa tuna safari ndefu sana.

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 

Hakuna mwenye mapenzi na kiongozi yoyote jizi la kura.
 
Achana na huyo Balozi wa Mashoga wa Afrika ya Kusini. Ameteuliwa hivi karibuni na urais wa Tanzania atausikia tu kwenye Redio na TV

Eti urais wa Tanzania, kwani Tanzania ni US mpaka uone ni bonge la cheo?
 
Sidhani kama ungemaliziwa magazine ya smg mwilini ungeongea huu ujinga wako, shut up! Kakojoe ukalale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…