Kwani tatizo kwenye katiba ni nini kwa Sasa jombaCCM na serikali, leteni katiba moja na bora, mumalize kidomo domo cha wapinzani, maneno yamekuwa mengi sana, waTanzania wanataka kuondoa matatizo yao ya Muungano. Sasa ni wakati muafaka kuyamaliza maana jiwe limetupwa gizani - sote tunaruka ruka na kukanyagana. Tumalize hizi habari za Tamganyika na Zanzibar. Tuacheni tupumue, CCM na serikali yenu, malizeni tatizo hili, maneno ni mengi- acheni tupambane na kikotoo.