econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Watanzania si wajinga...
Wanajua Tanzania hakuna upinzani wa kweli.
Upinzani wa kweli ndio upi?. Acheni kuokoteza maneno ya kinafiki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania si wajinga...
Wanajua Tanzania hakuna upinzani wa kweli.
Kama unaamini Tanzania kuna upinzani nakuonea huruma...
Kwa akili yako unaamini Mbowe na Zito ni wapinzani?
Na unaamini wakipata madaraka wataondoa uozo uliopo?
Pole sana.
Umenikumbusha wimbo wa CCM ni ileileWanaharakati wengi naona wamemgeuka Tundu Lissu kule X (Twitter) X ambayo ndio strongest base ya Chadema, iligeuka chungu baada ya clip ya maneno ya kibaguzi ya Lissu kupostiwa kule
Ni sahihi kukosoa Muungano wetu, ni sahihi pia kukosoa makosa ya serikali ya Samia
Lakini kisicho sawa ni kusema au ku imply makosa yanyofanywa na serikali ya Samia yanatokana na yeye kuwa Mzanzibari
Ndicho ambacho Tundu Lissu alikuwa anawaaminisha wananchi
Tundu Lissu anatumia mbinu zilezile za kuwa vilify washindani wake wa kisiasa kama sio watanzania halisi na ndio maana wanafanya makosa (wanayoyaona wao ni makosa) wanayosema wanayafanya
Ni mbinu ile ile iliyotumiwa na Magufuli ambaye ndiye Lissu alikuwa akisema ni rais mbovu na wa ajabu kuwahi kutokea kupambana na washindani zake wa kisiasa
Wakosoaji wa Magufuli walikuwa wakisakamwa uraia wao, kuporwa paspoti na kuitwa vibaraka wa mabeberu ambao hawana upendo na Tanzania
Na ndio hicho hicho lissu anakifanya kwa Samia kumuonyesha kama mamluki fulani asiyejali lolote kuhusu Tanzania
Kuna wengine watasema Katiba ya Zanzibar inawatambua kama Wazanzibar na sio Watanzania, lakini huu muungano haukuwa designed na Samia, na ndio maana nikasema ni sawa kuukosa Muungano na Katiba yetu
Lissu hana hoja yoyote zaidi ya porojo,Lissu anafikiri anaweza kuharibu nchi kwa maneno ya ajabu,Ngoja Sultan amgeuke ndio atajua.Wanaharakati wengi naona wamemgeuka Tundu Lissu kule X (Twitter) X ambayo ndio strongest base ya Chadema, iligeuka chungu baada ya clip ya maneno ya kibaguzi ya Lissu kupostiwa kule
Ni sahihi kukosoa Muungano wetu, ni sahihi pia kukosoa makosa ya serikali ya Samia
Lakini kisicho sawa ni kusema au ku imply makosa yanyofanywa na serikali ya Samia yanatokana na yeye kuwa Mzanzibari
Ndicho ambacho Tundu Lissu alikuwa anawaaminisha wananchi
Tundu Lissu anatumia mbinu zilezile za kuwa vilify washindani wake wa kisiasa kama sio watanzania halisi na ndio maana wanafanya makosa (wanayoyaona wao ni makosa) wanayosema wanayafanya
Ni mbinu ile ile iliyotumiwa na Magufuli ambaye ndiye Lissu alikuwa akisema ni rais mbovu na wa ajabu kuwahi kutokea kupambana na washindani zake wa kisiasa
Wakosoaji wa Magufuli walikuwa wakisakamwa uraia wao, kuporwa paspoti na kuitwa vibaraka wa mabeberu ambao hawana upendo na Tanzania
Na ndio hicho hicho lissu anakifanya kwa Samia kumuonyesha kama mamluki fulani asiyejali lolote kuhusu Tanzania
Kuna wengine watasema Katiba ya Zanzibar inawatambua kama Wazanzibar na sio Watanzania, lakini huu muungano haukuwa designed na Samia, na ndio maana nikasema ni sawa kuukosa Muungano na Katiba yetu
Usipomtaja mwamba JPM unaona mchango wako wa mawazo hautosomwa au ni kichaa tu kinakusumbua kumuwaza siku zote?Wanaharakati wengi naona wamemgeuka Tundu Lissu kule X (Twitter) X ambayo ndio strongest base ya Chadema, iligeuka chungu baada ya clip ya maneno ya kibaguzi ya Lissu kupostiwa kule
Ni sahihi kukosoa Muungano wetu, ni sahihi pia kukosoa makosa ya serikali ya Samia
Lakini kisicho sawa ni kusema au ku imply makosa yanyofanywa na serikali ya Samia yanatokana na yeye kuwa Mzanzibari
Ndicho ambacho Tundu Lissu alikuwa anawaaminisha wananchi
Tundu Lissu anatumia mbinu zilezile za kuwa vilify washindani wake wa kisiasa kama sio watanzania halisi na ndio maana wanafanya makosa (wanayoyaona wao ni makosa) wanayosema wanayafanya
Ni mbinu ile ile iliyotumiwa na Magufuli ambaye ndiye Lissu alikuwa akisema ni rais mbovu na wa ajabu kuwahi kutokea kupambana na washindani zake wa kisiasa
Wakosoaji wa Magufuli walikuwa wakisakamwa uraia wao, kuporwa paspoti na kuitwa vibaraka wa mabeberu ambao hawana upendo na Tanzania
Na ndio hicho hicho lissu anakifanya kwa Samia kumuonyesha kama mamluki fulani asiyejali lolote kuhusu Tanzania
Kuna wengine watasema Katiba ya Zanzibar inawatambua kama Wazanzibar na sio Watanzania, lakini huu muungano haukuwa designed na Samia, na ndio maana nikasema ni sawa kuukosa Muungano na Katiba yetu
Haaa haaa bisha kama Samia sio Mzanzibar. Weka ushahidi
Wewe ndio mbumbumbu wa mwisho, kuwa kuchagua upinzani ndio guarantee ya kuwa na maisha bora? Maisha bora utayapata kwa kutumia nguvu na akili zako
Ulimsikiliza Lissu? Au umelishwa maneno na Nape. Lissu akiongea katika context ya bandari na kumfukuza wamasai.kwanini munakwepa hoja? Tatizo sio kuwa ni mzanzibari, tatizo ni kuaminisha matatizo ya serikali yanatokana na sababu ya kuwa yeye ni mzanzibari, Wanatengeneza chuki kubwa kwa wananchi, hivo sio vitu vya kushabikia kabisa. Nchi nyengine ambazo leo zimejaa vita vilianza na chochoko za dizain kama hizi.
Mkuu una hoja ya msingi kwa context ya nje ya Tanzania...Tatizo lako unadhani upinzani ni watu akina Lissu au Mbowe unasahau upinzani ni movement.
Kuitambua Tanzania bara ila kukataa kuipatia serikali yake.Kwani tatizo kwenye katiba ni nini kwa Sasa jomba
Nimeelewa hoja yako. Ila kwa Tanzania bado upinzani ni movement. Sio Mbowe au Zitto. Hata baada ya uhuru upinzani ulikuwepo na umeendelea kuwepo. Shida ni kwamba mfumo wetu wa kiuchumi na uchaguzi umefanya wananchi wasijikite kwenye siasa Sana.Mkuu una hoja ya msingi kwa context ya nje ya Tanzania...
Upinzani katika nchi yetu ni watu, ndio maana hata nyinyi Chadema mnatamani Mbowe aendelee kuwepo
ACT pale ni Zito kabwe, amejiweka pembeni ila ana nguvu ya kufanya chechote bila kupingwa na yeyote...
Pale Zanzibar kulikuwa na CUF ya Maalim Seif Shalif Hamad, alipohama unajua kilichotokea...
Kwahiyo tukizungumzia upinzani kwa Tanzania hatukwepi kuzungumza watu.
Kwani kosa la Lissu liko wapi kama Samia mwenyewe hujitambulisha kwa fahari kabisa kwamba yeye ni Mzanzibari?Wanaharakati wengi naona wamemgeuka Tundu Lissu kule X (Twitter) X ambayo ndio strongest base ya Chadema, iligeuka chungu baada ya clip ya maneno ya kibaguzi ya Lissu kupostiwa kule
Ni sahihi kukosoa Muungano wetu, ni sahihi pia kukosoa makosa ya serikali ya Samia
Lakini kisicho sawa ni kusema au ku imply makosa yanyofanywa na serikali ya Samia yanatokana na yeye kuwa Mzanzibari
Ndicho ambacho Tundu Lissu alikuwa anawaaminisha wananchi
Tundu Lissu anatumia mbinu zilezile za kuwa vilify washindani wake wa kisiasa kama sio watanzania halisi na ndio maana wanafanya makosa (wanayoyaona wao ni makosa) wanayosema wanayafanya
Ni mbinu ile ile iliyotumiwa na Magufuli ambaye ndiye Lissu alikuwa akisema ni rais mbovu na wa ajabu kuwahi kutokea kupambana na washindani zake wa kisiasa
Wakosoaji wa Magufuli walikuwa wakisakamwa uraia wao, kuporwa paspoti na kuitwa vibaraka wa mabeberu ambao hawana upendo na Tanzania
Na ndio hicho hicho lissu anakifanya kwa Samia kumuonyesha kama mamluki fulani asiyejali lolote kuhusu Tanzania
Kuna wengine watasema Katiba ya Zanzibar inawatambua kama Wazanzibar na sio Watanzania, lakini huu muungano haukuwa designed na Samia, na ndio maana nikasema ni sawa kuukosa Muungano na Katiba yetu
Wewe Zezeta unafikiri hawa akina Mdude na Lissu ndio watakutoa? Wangapi wanetoboa kwenye mazingira haya haya unayosema ni mabovu?Wewe ndio mbumbumbu kiwango cha sgr, unashindwa kuelewa serikali inapokua na sera nzuri kwa wananchi wake basi maendeleo yanakuwepo,utaendelea kufanya kazi kwa nguvu na akili hutasonga mbele sababu ya sera mbovu ya serikali famba wewe🚮
Kwahiyo mnataka kuongezeke Idadi ya Serikali na sio kupunguza..gharama za uendeshaji wa Serikali tatu mnazo, mnataka muongezewe Kodi zaidi ili Serikali ziweze kufanya kazi, mpo tayari???...manake msilete ushabiki tu bila kujua athari zake..tafakariKuitambua Tanzania bara ila kukataa kuipatia serikali yake.
Kumbe jinga kweli,hapo unahisi umeongea kitu cha kukera?Kaza moyo binti mimba si milele...
na hiyo ndio ticket ya ushindi kwa chadema, hicho ndicho wananchi walitamani kukisikia.Wanaharakati wengi naona wamemgeuka Tundu Lissu kule X (Twitter) X ambayo ndio strongest base ya Chadema, iligeuka chungu baada ya clip ya maneno ya kibaguzi ya Lissu kupostiwa kule
Ni sahihi kukosoa Muungano wetu, ni sahihi pia kukosoa makosa ya serikali ya Samia
Lakini kisicho sawa ni kusema au ku imply makosa yanyofanywa na serikali ya Samia yanatokana na yeye kuwa Mzanzibari
Ndicho ambacho Tundu Lissu alikuwa anawaaminisha wananchi
Tundu Lissu anatumia mbinu zilezile za kuwa vilify washindani wake wa kisiasa kama sio watanzania halisi na ndio maana wanafanya makosa (wanayoyaona wao ni makosa) wanayosema wanayafanya
Ni mbinu ile ile iliyotumiwa na Magufuli ambaye ndiye Lissu alikuwa akisema ni rais mbovu na wa ajabu kuwahi kutokea kupambana na washindani zake wa kisiasa
Wakosoaji wa Magufuli walikuwa wakisakamwa uraia wao, kuporwa paspoti na kuitwa vibaraka wa mabeberu ambao hawana upendo na Tanzania
Na ndio hicho hicho lissu anakifanya kwa Samia kumuonyesha kama mamluki fulani asiyejali lolote kuhusu Tanzania
Kuna wengine watasema Katiba ya Zanzibar inawatambua kama Wazanzibar na sio Watanzania, lakini huu muungano haukuwa designed na Samia, na ndio maana nikasema ni sawa kuukosa Muungano na Katiba yetu
Kliniki hua unaenda kweli?Kumbe jinga kweli,hapo unahisi umeongea kitu cha kukera?
Zuchu wewe.