Kwani tatizo kwenye katiba ni nini kwa Sasa jombaCCM na serikali, leteni katiba moja na bora, mumalize kidomo domo cha wapinzani, maneno yamekuwa mengi sana, waTanzania wanataka kuondoa matatizo yao ya Muungano. Sasa ni wakati muafaka kuyamaliza maana jiwe limetupwa gizani - sote tunaruka ruka na kukanyagana. Tumalize hizi habari za Tamganyika na Zanzibar. Tuacheni tupumue, CCM na serikali yenu, malizeni tatizo hili, maneno ni mengi- acheni tupambane na kikotoo.
Hivi aliorodhesha hayo makosaHilo sio shida. Wala tukiwaita wao Wazanzibari sio shida, shida ni kusema serikali imefanya makosa haya na haya kwa sababu inaongozwa na Rais Mzanzibari
Jinga wewe,una akili za kujadili akili ya wengine?Akili ikikurudia takujibu.
Kwahiyo?Wanaharakati wengi naona wamemgeuka Tundu Lissu kule X (Twitter) X ambayo ndio strongest base ya Chadema, iligeuka chungu baada ya clip ya maneno ya kibaguzi ya Lissu kupostiwa kule
Ni sahihi kukosoa Muungano wetu, ni sahihi pia kukosoa makosa ya serikali ya Samia
Lakini kisicho sawa ni kusema au ku imply makosa yanyofanywa na serikali ya Samia yanatokana na yeye kuwa Mzanzibari
Ndicho ambacho Tundu Lissu alikuwa anawaaminisha wananchi
Tundu Lissu anatumia mbinu zilezile za kuwa vilify washindani wake wa kisiasa kama sio watanzania halisi na ndio maana wanafanya makosa (wanayoyaona wao ni makosa) wanayosema wanayafanya
Ni mbinu ile ile iliyotumiwa na Magufuli ambaye ndiye Lissu alikuwa akisema ni rais mbovu na wa ajabu kuwahi kutokea kupambana na washindani zake wa kisiasa
Wakosoaji wa Magufuli walikuwa wakisakamwa uraia wao, kuporwa paspoti na kuitwa vibaraka wa mabeberu ambao hawana upendo na Tanzania
Na ndio hicho hicho lissu anakifanya kwa Samia kumuonyesha kama mamluki fulani asiyejali lolote kuhusu Tanzania
Kuna wengine watasema Katiba ya Zanzibar inawatambua kama Wazanzibar na sio Watanzania, lakini huu muungano haukuwa designed na Samia, na ndio maana nikasema ni sawa kuukosa Muungano na Katiba yetu
hayo mambo ya wao kununua ardhi Tanganyika na Huko kwao tunazuiwa na sasa wanataka twende na pasipoti kwenye nchi yao.Kwani tatizo kwenye katiba ni nini kwa Sasa jomba
Sawa lakini tunapaswa kuachana na ccm na kusapoti upinzani uwe na nguvu hii itasaidia kuwapa adabu ccm lakini watu hata hili hawana habari nalo, watanzania ni wajinga mno.Wewe ndio mbumbumbu wa mwisho, kuwa kuchagua upinzani ndio guarantee ya kuwa na maisha bora? Maisha bora utayapata kwa kutumia nguvu na akili zako
“Wanaharakati wengi” gani hao waliomgeuka Tundu Lisu? Makamba? Au Mwigulu?Wanaharakati wengi naona wamemgeuka Tundu Lissu kule X (Twitter) X ambayo ndio strongest base ya Chadema, iligeuka chungu baada ya clip ya maneno ya kibaguzi ya Lissu kupostiwa kule
Ni sahihi kukosoa Muungano wetu, ni sahihi pia kukosoa makosa ya serikali ya Samia
Lakini kisicho sawa ni kusema au ku imply makosa yanyofanywa na serikali ya Samia yanatokana na yeye kuwa Mzanzibari
Ndicho ambacho Tundu Lissu alikuwa anawaaminisha wananchi
Tundu Lissu anatumia mbinu zilezile za kuwa vilify washindani wake wa kisiasa kama sio watanzania halisi na ndio maana wanafanya makosa (wanayoyaona wao ni makosa) wanayosema wanayafanya
Ni mbinu ile ile iliyotumiwa na Magufuli ambaye ndiye Lissu alikuwa akisema ni rais mbovu na wa ajabu kuwahi kutokea kupambana na washindani zake wa kisiasa
Wakosoaji wa Magufuli walikuwa wakisakamwa uraia wao, kuporwa paspoti na kuitwa vibaraka wa mabeberu ambao hawana upendo na Tanzania
Na ndio hicho hicho lissu anakifanya kwa Samia kumuonyesha kama mamluki fulani asiyejali lolote kuhusu Tanzania
Kuna wengine watasema Katiba ya Zanzibar inawatambua kama Wazanzibar na sio Watanzania, lakini huu muungano haukuwa designed na Samia, na ndio maana nikasema ni sawa kuukosa Muungano na Katiba yetu
Kaza moyo binti mimba si milele...Jinga wewe,una akili za kujadili akili ya wengine?
Wewe ndio mbumbumbu kiwango cha sgr, unashindwa kuelewa serikali inapokua na sera nzuri kwa wananchi wake basi maendeleo yanakuwepo,utaendelea kufanya kazi kwa nguvu na akili hutasonga mbele sababu ya sera mbovu ya serikali famba wewe🚮Wewe ndio mbumbumbu wa mwisho, kuwa kuchagua upinzani ndio guarantee ya kuwa na maisha bora? Maisha bora utayapata kwa kutumia nguvu na akili zako
Wacha wafe na njaa mazuzu ni mazuzu tu.Watanzania wengi akili zenu ni mbovu. Hivi kweli kwanini hamsapoti upinzani wakati hali za maisha yenu ni ngumu na mnajua wazi kuwa CCM ndio tatizo lenu, au hamjui?!
Kama huoni tatizo kwenye katiba ya sasa basi wewe ni taplooKwani tatizo kwenye katiba ni nini kwa Sasa jomba
Njaa ikizidi, akili zitaingia tu...ukilala sana usingizi, ipo siku utachoka kulala na kufanya ya maendeleoWananchi wote walivyopigwa njaa hayo mambo ya Lissu yanawangia sikio moja yanatokea jingine nyinyi ndio mnayakuza kwa kuyajadili!
Min-me- asante, nimecheka sana kwa hii comment yako0 ubarikiweWacha wafe na njaa mazuzu ni mazuzu tu.
Ndugu, ubarikiwe kwa comment yako, nimecheka sanaKama huoni tatizo kwenye katiba ya sasa basi wewe ni taploo
Lissu hawezi kuwa Rais. Lissu ni mtu tu wa kutumwa na kutekeleza. Nina ushahidi wa kauli zake nyingi kabla hajapigwa risasi na baada ya kupigwa risasi.Wanaharakati wengi naona wamemgeuka Tundu Lissu kule X (Twitter) X ambayo ndio strongest base ya Chadema, iligeuka chungu baada ya clip ya maneno ya kibaguzi ya Lissu kupostiwa kule
Ni sahihi kukosoa Muungano wetu, ni sahihi pia kukosoa makosa ya serikali ya Samia
Lakini kisicho sawa ni kusema au ku imply makosa yanyofanywa na serikali ya Samia yanatokana na yeye kuwa Mzanzibari
Ndicho ambacho Tundu Lissu alikuwa anawaaminisha wananchi
Tundu Lissu anatumia mbinu zilezile za kuwa vilify washindani wake wa kisiasa kama sio watanzania halisi na ndio maana wanafanya makosa (wanayoyaona wao ni makosa) wanayosema wanayafanya
Ni mbinu ile ile iliyotumiwa na Magufuli ambaye ndiye Lissu alikuwa akisema ni rais mbovu na wa ajabu kuwahi kutokea kupambana na washindani zake wa kisiasa
Wakosoaji wa Magufuli walikuwa wakisakamwa uraia wao, kuporwa paspoti na kuitwa vibaraka wa mabeberu ambao hawana upendo na Tanzania
Na ndio hicho hicho lissu anakifanya kwa Samia kumuonyesha kama mamluki fulani asiyejali lolote kuhusu Tanzania
Kuna wengine watasema Katiba ya Zanzibar inawatambua kama Wazanzibar na sio Watanzania, lakini huu muungano haukuwa designed na Samia, na ndio maana nikasema ni sawa kuukosa Muungano na Katiba yetu
je haijafanya makosa?Hilo sio shida. Wala tukiwaita wao Wazanzibari sio shida, shida ni kusema serikali imefanya makosa haya na haya kwa sababu inaongozwa na Rais Mzanzibari
Wanaharakati wengi naona wamemgeuka Tundu Lissu kule X (Twitter) X ambayo ndio strongest base ya Chadema, iligeuka chungu baada ya clip ya maneno ya kibaguzi ya Lissu kupostiwa kule
Ni sahihi kukosoa Muungano wetu, ni sahihi pia kukosoa makosa ya serikali ya Samia
Lakini kisicho sawa ni kusema au ku imply makosa yanyofanywa na serikali ya Samia yanatokana na yeye kuwa Mzanzibari
Ndicho ambacho Tundu Lissu alikuwa anawaaminisha wananchi
Tundu Lissu anatumia mbinu zilezile za kuwa vilify washindani wake wa kisiasa kama sio watanzania halisi na ndio maana wanafanya makosa (wanayoyaona wao ni makosa) wanayosema wanayafanya
Ni mbinu ile ile iliyotumiwa na Magufuli ambaye ndiye Lissu alikuwa akisema ni rais mbovu na wa ajabu kuwahi kutokea kupambana na washindani zake wa kisiasa
Wakosoaji wa Magufuli walikuwa wakisakamwa uraia wao, kuporwa paspoti na kuitwa vibaraka wa mabeberu ambao hawana upendo na Tanzania
Na ndio hicho hicho lissu anakifanya kwa Samia kumuonyesha kama mamluki fulani asiyejali lolote kuhusu Tanzania
Kuna wengine watasema Katiba ya Zanzibar inawatambua kama Wazanzibar na sio Watanzania, lakini huu muungano haukuwa designed na Samia, na ndio maana nikasema ni sawa kuukosa Muungano na Katiba yetu
Mbona wananchi wenyewe wanayajadili mpaka Nape kawachimba biti wasiende kumsikiliza Lissu.Wananchi wote walivyopigwa njaa hayo mambo ya Lissu yanawangia sikio moja yanatokea jingine nyinyi ndio mnayakuza kwa kuyajadili!