Njia nzuri ni diplomatic pressure kutoka nje, Mashirika na Taasisi za Dini, Wasomi, NGO hizi ndizo njia sahihi badala ya maandamano pekee kuhusu suala hiliWe mwache tu.. Labda kama ana njia nyingine .. Lakini kama ni migomo na maandamano asiwategemee kabisa hawa wanachama wake..🤣🤣🤣🤣🤣