T tripof JF-Expert Member Joined Apr 2, 2024 Posts 829 Reaction score 1,120 Mar 2, 2025 #21 St. Paka Mweusi said: We mwache tu.. Labda kama ana njia nyingine .. Lakini kama ni migomo na maandamano asiwategemee kabisa hawa wanachama wake..🤣🤣🤣🤣🤣 Click to expand... Njia nzuri ni diplomatic pressure kutoka nje, Mashirika na Taasisi za Dini, Wasomi, NGO hizi ndizo njia sahihi badala ya maandamano pekee kuhusu suala hili
St. Paka Mweusi said: We mwache tu.. Labda kama ana njia nyingine .. Lakini kama ni migomo na maandamano asiwategemee kabisa hawa wanachama wake..🤣🤣🤣🤣🤣 Click to expand... Njia nzuri ni diplomatic pressure kutoka nje, Mashirika na Taasisi za Dini, Wasomi, NGO hizi ndizo njia sahihi badala ya maandamano pekee kuhusu suala hili
M Mtoto wa Shule JF-Expert Member Joined Nov 16, 2014 Posts 15,133 Reaction score 11,914 Mar 2, 2025 #22 Zaidi ya kuropoka tu sioni mtu wa kuzuia Uchaguzi Mkuu Tanzania.