Uchaguzi 2020 Tundu Lissu hawezi kuboresha afya, elimu na huduma za jamii sababu familia yake inaishi Ubelgiji

Viongozi wote wanatibiwa nje ya Nchi CCM ingeboresha hizo huduma za afya ,nani angeenda kutibiwa nje ya nchi.
 
Zimedunishwa na nani wakati hatujawahi kuongozwa na kiongozi mwenye familia ulaya?
 
Mleta mada njoo wewe na mumeo na watoto wako huku dunia ya kwanza tukutunze.
Unaleta porojo za kumuhadithia mwanao mchanga kwa sisi watu wazima humu jamvini??
Jiheshimu aisee.))
 
Kamanda, pamoja kwamba hata shinda, hili la familia yake kuishi ughaibuni linaonesha ni jinsi gani akili yake haipo Tanzania

Nyie ndio huwa mnadanganywa kwa mgombea kwenda kuchukua form akiwa amepanda baiskeli au boda boda

Familia kuishi ulaya Kuna shida gani?
Ww unajua Familia yote ya magu iko wapi?
 
0
Ilijengwa awamu ya Kikwete
Tumia akili kama unayo hata kiduchu Uwanja wa ndege wa Dar haukujengwa kwa sababu kuna Wazaramo, au cha KIA kwa sababu ya Wameru, Wachaga, Wamasai, wala wa Chato kwa ajili ya Wasukuma hata kama wa Mwanza hauwatoshi. Pamoja na ujinga wako ungejiuliza hao wote wanatumia viwanja hivyo wakienda au wakitoka wapi? Singida wale Wanyaturu na Wanyiramba je?
 
Narudia Lissu anadharau 'machineries' za nchi yetu Tanzania na anatudharau sisi watanzania!
Kama alivyo Magufuli.
Hakuna kiongozi anayemzidi Magufuli kwa dharau. Magufuli anadharau wanainchi/wapiga kura, anadharau subonates wake.
 
Nyie si mnasema hizo huduma zimeshaboreshwa na awamu ya 5 Sasa aje kuboresha Nini[emoji16]
 
Huyo Magufuli kajenga kwa pesa yake au kodi za wananchi?Mbona mnapenda sana kuabudu watu?Hujui unamlipa kwa kazi anayofanya na ni takwa la kikatiba?Sasa ibaki apimwe kama amefanya wananchi watakavyo au la hasha na hilo jibu lake ni sanduku la kura!Anaweza kuwa kafanya lakini wananchi wakataka serikali ambayo itafanya zaidi ya serikali yake ilivyotenda!
 
Wakudadavua umekuwa low sana. Siyo kwa sababu mnatujengea barabara basi tusihoji na tuishi kwa hofu !!

Pili mwenyekiti lazima apingwe Tz si mali yake pekee. Yeye mwenyewe makosa kibao . Au unataka orodha ?
 
familia yake inapata huduma za afya,elimu na malazi kutoka Ubelgiji. Leo hata huduma ya kisheria anatumia za mawakili waliopo Ulaya ni dhahiri Lissu hana mpango na Watanzania. Na hata baada ya uchaguzi atatokomea huko huko kuganga njaa.
Pumbavu kabisa
 
Vipi na hospitali ya rufaa itakayohudumia kanda nzima kujengwa chato hapo vipi?Doesnt it ring the bell?
 
Mbona CCM imeshindwa kuboresha kwa muda wa miaka 60? KCMC, Mhimbili, Bugando, Haydom nk zilikuwepo kabla ya uhuru
Wew kaz yako imeonekana kwa nani mbona una akili na hujawah tambua imeifanyia nn hiyo akili
 
Sasa mtu amezuia habari na kashfa zisitoke. Hizo kashfa utazisikiaJe ?!.
 
Hiyo ndiyo sera yenu mnayotoka nayo mwaka huu? Ha ha ha ha haaa my foot!
 
Ni yeye.hata Kama familia unaishi Somalia. Mfumo wa kimaisha kifamilia umekuwa mgumu mno.watanzania hawajui kesho itaamkaje na hawajui kesho wanakula Nini.ndipo tulikofikia tukiambiwa miradi mikubwa.mirafi mikubwa umefikia hatua Sasa watanzania wafe njaa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…