Tundu Lissu hebu tueleze vizuri tukio la kupigwa risasi lilivyotokea haya uliyotoa yanaacha maswali mengi sana

Nimekupata.

Niseme tu, Sitakubaliana na uanzishwaji wa Tume. Sidhani kama nitapenda kuona hadaa nyingine....ni maoni yangu.

Inaonekana una taarifa nyingi na Nyeti, au kwa lugha nyingine ni kuwa Ushahidi wa kutosha upo. Kwanini Mh. Tundu Lissu asiwafungulie Polisi au Serikali kesi na kudai amenyimwa haki...au hilo nalo linahitaji Katiba mpya?
 
Halafu wapigaji wakiwa wanapiga kutokea nyuma ya gari lao
Ktk mahojiano LISSU amesema aliwaona waliompiga risasi kupitia mirror,

Walikuwa vijana umri wa miaka 30 hv,

Aliwaona ila AMEWASAHAU, na hata aliwaona Leo hawezi kuwakumbuka,

Sababu ya kutowakumbuka ni sababu walishuka ghafula na hakuwahi kuwaona kabla hivyo ni ngumu kuwakumbuka.
 
1. Nimekupa na LIKE√ Kwa sababu, sasa you're in your right senses. At least tunaweza kujadiliana kwa hoja as matured gentlemen.

2. Mimi sijakulazimisha ukubaliane na hoja za JokaKuu Kwa sababu najua maana ya mjadala.

3. Niliandika, "...kama SYLLOGIST! hatakuelewa kwa hili, basi ana lake jambo...". Huku si kukulazimisha bali nilikuwa nakuchagiza umsome JokaKuu kwa umakini inawezekana mkakubaliana ktk baadhi ya hoja.

4. Unfortunately, wewe mwenzetu ukaanza ku - rap kusikokuwa na mpangilio wa kimantiki kiasi
kunishambulia mimi Uzima Tele na kunitisha eti "UTANIBUTUA".

Honestly, sikukuelewa na nilidhani tunajadiliana na mwanafunzi wa kidato cha pili labda.

NB: Naweka mambo sawa tu. I don't mean to offend you anyhow.

Uwe na siku njema ndugu SYLLOGIST!
 
1. Nimekupa na LIKE√ Kwa sababu, sasa you're in your right senses. At least tunaweza kujadiliana kwa hoja as matured gentlemen.
Hiyo laiki naikubali kwa shingo upande. Asante
Btw my senses are never right, kwasababu ningekusoma kwa umakini. bila hivyo, nisingejua una Busara....fulani.
2. Mimi sijakulazimisha ukubaliane na hoja za JokaKuu Kwa sababu najua maana ya mjadala.

3. Niliandika, "...kama SYLLOGIST! hatakuelewa kwa hili, basi ana lake jambo...". Huku si kukulazimisha bali nilikuwa nakuchagiza umsome JokaKuu kwa umakini inawezekana mkakubaliana ktk baadhi ya hoja.
Tumepishana sana lugha. Na ulinichagiza, kitafrani tafrani.
4. Unfortunately, wewe mwenzetu ukaanza ku - rap kusikokuwa na mpangilio wa kimantiki kiasi
kunishambulia mimi Uzima Tele na kunitisha eti "UTANIBUTUA".
Ni lugha tu hiyo, nimekulia Uswahilini. kubutua ina maana nyingi uswazi.
Honestly, sikukuelewa na nilidhani tunajadiliana na mwanafunzi wa kidato cha pili labda.
Perhaps...haijalishi lakini
NB: Naweka mambo sawa tu. I don't mean to offend you anyhow.

Uwe na siku njema ndugu SYLLOGIST!
Siku yangu inaanza na Mihogo na Uji wa Ulezi huwa napata faraja na siku huwa ni njema tu baada ya hapo anayeweza kuniharibia siku ni CCM peke yake. Usiwe na Wasiwasi. Nimejifunza.
 
hebu msikilize unless awe anaumwa psychological trauma
Sawa tumemsikia eeh baada ya kufika hospital na gari la rehema nani alimpeleka Nairobi? Hiyo ndege ni maelekezo ya nani?

Wajumbe tuendelee kuanzia hapo!
 
Awafungulie kesi ipi ?
 
Maswali ya kijinga haya wakati karma ilishatoa hukumu yake na aliyeamuru auawe alishatangulia na kumwacha Lissu!
 
Mpaka ujuwe huu mchezo lazima kwanza uelewe nani alimteka mo? Achana na watendaji wa kazi nani alitoa amri akasingiziwa mwingine eti ndo kamtuma fulani? Nyiee nyamazeni tu kama hujui hujui.

Unajua mtu anakuumiza na msaada anatoa ili kupoteza ushahidi?

Tatizo humu wenye high thinking capacity ni wachache. Ila wamo wanao elewa hizi drama.
 
Wauaji walikuwa wanataka kumwangamiza na yeye. Watu wema ndani ya vyombo vya usalama walishauri aondoke haraka sana.

Ikithibitika Serikali ina will ya kushugulikia jambo hili, dereva atakuja haraka sana. Mpaka sasa dhamira hiyo haipo.
Tumewahi ona picha nyingi za tukio, nani ana picha ya dereva?
 
Maswali yako yote ya kijinga
 
Hatutakaa tujue mpaka ripoti ya uchunguzi itakapokamilika. Bahati MBAYA sana, miaka mitano baadae, hakuna ripoti yoyote, Wala hakuna aliyekamatwa!
 
Mtaalum wa kitu gani unashindwa andika hata Mimi, unaandika Mie! Kweli humu kuna shida
Too trivial- wewe jadili mada achana na mambo madogo madogo
 
sio kweli umekosea maelezo ya dereva nanukuu anasema dereva alifyatua kiti cha bosi wake na kukilaza ndo maana alipigwa miguuni tu na kwenye mapaja tu derefa akafungua mlango wake adodoka akaingia uvvunguni mwa gari gari yao au yajirani sijui
 
Suala hili tuliache kama lilivyoachwa na bunge kama wabunge wenyewe hawakulijadili licha ya kuundiwa kamati sisi ni nani hata tulijadili????!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…